Kisa cha Photo albam

Kipanga

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
676
34
Wapendwa wanaJF najua tumekuwa tukijadili masuala mengi nyeti yanayojili Tz na duniani kwa ujumla lazima bongo zinachoka! Naomba ili kupumzisha akili kidogo tuangalie nyimbo mbali mbali zilizowahi kupigwa na bendi za hapa Tz.

Mimi kwa leo nimekumbuka wimbo uliopigwa na Bendi ya Kimulimuli Jazz kutoka kule mafinga Iringa unaoitwa kisa cha photo albam. Wimbo huu ulitungwa na kuimbwa na Mwanamuziki nguli Tz Zahiri Ally Zoro...Maneno ya wimbo huo ikiwemo vitongoji vya jiji la Mwanza anavyotaja kwa kweli ananikumbusha mbali sana. Wewe Je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom