Kisa cha muongo!!!!

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Jamaa mmoja alikuwa ni mwongo sanaa...

Siku moja alikuwa akiwa simulia jamaa zake story! Akaanza hivi


Muongo: Basi bwana jana nilienda kuwinda nikamkamata bonge la swala kisha nikamuangusha chini...


Ghafla simu ya muongo ikaita griiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Akapokea na kuongea kama dk 5 hivi

Muongo: Hivi nilikuwa nimefika wapi kwenye story?


Wasikilizaji: ukamwangusha chini

Muongo: Kisha nikaanza kumtia

Wasikiliza: Ukaanza kumtia swalaaa?

muongo: Niaanza kumchinjaaa

wasikilizaji: hahaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom