Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

HUU MSTARI NIMEUPENDA SANA,NMECHEKA KAMA MALAYA WA KONA BAR

ilikuwa Ijumaa nikapita mitaa flani kwa wana wangu walikuwa wamepika kitimoto. Sisi tulikuwa hatuna dini kwa kweli. Tuligonga na ugali nikashiba sana
 
Nadhani ni kwa sababu wame monopolize aina hii ya mtandao wa kijamii.hawana ushindani. Ndo maana wanakuwa na kiburi sana. Uzi wangu nlianzisha habari mchanganyiko. Wakatoa wakapeleka MMU sikulalamika. Though nliona si sahihi. Leo wameutoa MMU wameleta kwenye entertainment. Hii siyo entertainment. Siyo story ya kubuni. Why wafanye hivyo?
Mods hawahusiki,unawalaumu bure

itakuwa yule jini kamaindi ww kutoboa siri,kwa hiyo unakuwa unaona maluweluwe kumbe hata huku walikouleta ni poa tu

umeanza na kuzirazira ikiwa ni dalili jini amekuvaa...wewe endeleza story kabla jini hajakupa upofu
 
Nini maana ya lever nyingine??? Kama lugha ya kigeni inasumbua ni vyema ukaandika tu kiswahili mkuu,

Kifupi mods wamezingua, huu uzi ilibidi uwe kwenye habari na hoja mchanganyiko au mahusiano ila sio kwenye burudani.

Na kama kwako unaona ni sawa hamna tatizo, its okay ila huwezi kuona mawazo ya wengine yanakutia aibu kwasababu kila mtu ana mtazamo wake, na sio lazima wote tufanane.
kwani hii ni habari? au ni hoja?!
hii ni simulizi' na imeletwa kwenye jukwaa husika..!
 
Dah hapa sasa tunaoteseka ni sisi!!

Hivi ni kwanini mods hamtufikirii sisi wapenzi wasomaji kabla ya kufanya maamuzi??
Sasa mleta mada amegoma what next????
mods hawawafikirii walaji kabla hawajafanya maamuzi.
 
Ujue ni kwamba
Yeye Chizi Maarifa anajua fika kuwa hii sio chai wala story za Kwenye vitabu ni kitu kilichomkuta really kwenye Maisha yake

Sasa kwanini wao wanaoitwa moderators wauhamishe walete jukwaa la sports & entertainment ?? Kwamba mkasa wa jamaa ni michezo na Burudani sio ?? Inakatisha tamaa kwake Chizi Maarifa kuendelea kumwaga mambo

Rudishen Uzi mahala husika otherwise mje na majibu hapa
Active Moderator Cookie
Maxence Melo
daah!
Yaani unateseka na majini wadau wanaona ni michezo na burudani mateso yako.
 
kwani hii ni habari? au ni hoja?!
hii ni simulizi' na imeletwa kwenye jukwaa husika..!
Hii ni habari ambayo ilimtokea mtu miaka iliyopita, na kule habari na hoja mchanganyiko kuna habari za aina hii nyingi tu na wala hazijahamishwa,

Wengi tu wametusimulia majanga waliyokutana nayo miaka ya nyuma na wengine bado wanaendelea kutupa habari za matukio hayo kama alivyofanya Chizi Maarifa

Unaweza kuniambia ni kwanini uzi huu uhamishwe na zile nyingine za aina hii zibakie??
 
Hivi uzi umeunganishwa na uzi mwingine au umehamishwa jukwaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom