Jiandae kula BAN mkuu
YaniiiYaan story ndio imeishia hapa,dah
Mods hawahusiki,unawalaumu bureNadhani ni kwa sababu wame monopolize aina hii ya mtandao wa kijamii.hawana ushindani. Ndo maana wanakuwa na kiburi sana. Uzi wangu nlianzisha habari mchanganyiko. Wakatoa wakapeleka MMU sikulalamika. Though nliona si sahihi. Leo wameutoa MMU wameleta kwenye entertainment. Hii siyo entertainment. Siyo story ya kubuni. Why wafanye hivyo?
kwani hii ni habari? au ni hoja?!Nini maana ya lever nyingine??? Kama lugha ya kigeni inasumbua ni vyema ukaandika tu kiswahili mkuu,
Kifupi mods wamezingua, huu uzi ilibidi uwe kwenye habari na hoja mchanganyiko au mahusiano ila sio kwenye burudani.
Na kama kwako unaona ni sawa hamna tatizo, its okay ila huwezi kuona mawazo ya wengine yanakutia aibu kwasababu kila mtu ana mtazamo wake, na sio lazima wote tufanane.
mods hawawafikirii walaji kabla hawajafanya maamuzi.Dah hapa sasa tunaoteseka ni sisi!!
Hivi ni kwanini mods hamtufikirii sisi wapenzi wasomaji kabla ya kufanya maamuzi??
Sasa mleta mada amegoma what next????
daah!Ujue ni kwamba
Yeye Chizi Maarifa anajua fika kuwa hii sio chai wala story za Kwenye vitabu ni kitu kilichomkuta really kwenye Maisha yake
Sasa kwanini wao wanaoitwa moderators wauhamishe walete jukwaa la sports & entertainment ?? Kwamba mkasa wa jamaa ni michezo na Burudani sio ?? Inakatisha tamaa kwake Chizi Maarifa kuendelea kumwaga mambo
Rudishen Uzi mahala husika otherwise mje na majibu hapa
Active Moderator Cookie
Maxence Melo
Hii ni habari ambayo ilimtokea mtu miaka iliyopita, na kule habari na hoja mchanganyiko kuna habari za aina hii nyingi tu na wala hazijahamishwa,kwani hii ni habari? au ni hoja?!
hii ni simulizi' na imeletwa kwenye jukwaa husika..!
Not fair kabisamods hawawafikirii walaji kabla hawajafanya maamuzi.
daah!
Yaani unateseka na majini wadau wanaona ni michezo na burudani mateso yako.
Pole mkuu uzi umesimamishwa mpaka mods waurudishe jukwaa la hoja mchanganyikoHivi uzi umeunganishwa na uzi mwingine au umehamishwa jukwaa?