Kisa cha maharusi wapya: Ungekuwa wewe ungefanyaje katika hali hii?

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Jamani hii imenikuta mimi mwenyewe last week nikiwa nasimamia arusi ya jamaa mmoja ambaye mkewe ni rafiki sana na mke wangu na wamesoma pamoja.

Arusi imefanyika katika ukumbi mmoja Sinza na mimi na mke wangu ndio tulikuwa wasimamizi kwa wanafamilia hawa wapya. Ilipofika wakati wa chakula, bibi arusi na matron wake (my wife) waliitana kando kuteta huku bibi harusi akionekana kupoteza uchangamfu kidogo.

Baada ya muda si mrefu, walirejea tulipokuwa na mazungumzo ya hapa na pale yaliendelea. Kisha wife wangu akaniita chemba kidogo akaanza kunieleza kwamba Bibi harusi yupo katika sintofahamu kubwa.

Kisa na mkasa wa sintofahamu hiyo ni kwamba bibi harusi hajawahi kufanya mapenzi hata siku moja na yeye ni bikira. Kipindi chote walichokuwa katika uchumba hawakuwahi kufanya mapenzi na mchumbake ambaye sasa wameunganishwa na kuwa mumewe. wasiwasi alionao ni kwamba anajua siku hiyo atapata uchungu mkubwa kwani atafanya mapenzi kwa mara ya kwanza katika maisha yake.

Uchangamfu ulimpotea kutokana na kuwazia sana hilo tendo ambalo anaamili lazima litamletea maumivu makali na hata kutoka damu. Wife akanishauri kuwa nijaribu kuzungumza na Bw Arusi ili awe na na subira katika kufanya tendo hilo usiku huo katika hoteli watakakokwenda kulala ili kmwenzake asipate maumivu.

Hii sio hadithi wakuu, imenitokea mimi mwenyewe nikisimamia arusi hii na ukweli nilipigwa na butwaa kwani ni nadra sana kukuta hadi siku ya arusi mtu bado bikra hasa Dar es salaam yetu hii.

Ungekuwa wewe ungemweleza nini Bwana Harusi katika scenario hiyo?
 
wewe kwanza tumalizie je ulipomueleza bwana harusi alisemaje?

usikute bwana harusi angeshangaa bikira itoke wapi while wana sex kila siku...
The Boss, nilimuuliza sana wife kuhusu hili kama kweli yule dada ni innocent kiasi kile, kiukweli hata wife alinihakikishia kuwa yule dada tangu shule alikuwa akiitwa sista kutokana na tabia yake na ana hakika hajawahi ku-sex labda ndotoni
 
mkuu kwahiyo wewe ungepiga kimya wakajuane wenyewe? ungekuwa hujafanya kazi yako kikamilifu kama msimamizi wa maharusi
kwanza bwana harusi naye bozo anaonekana pengine hajui kwamba mkewe bikira,ndio maana nimesema sina ushauri.na sina kweli ushauri wengine watakuwa nao
 
The Boss, nilimuuliza sana wife kuhusu hili kama kweli yule dada ni innocent kiasi kile, kiukweli hata wife alinihakikishia kuwa yule dada tangu shule alikuwa akiitwa sista kutokana na tabia yake na ana hakika hajawahi ku-sex labda ndotoni

sasa wewe ulifanya nini?
si malizia basi hii story tujue
 
The Boss, nilimuuliza sana wife kuhusu hili kama kweli yule dada ni innocent kiasi kile, kiukweli hata wife alinihakikishia kuwa yule dada tangu shule alikuwa akiitwa sista kutokana na tabia yake na ana hakika hajawahi ku-sex labda ndotoni

Kwa hiyo hata hajawahi kuendesha baiskeli?!Nahisi huyo alikuwa anataka kuteka attention yenu wasimamizi ili mumuone mtu safi!Kabla ya ndoa kuna mafundisho mbalimbali na kuwaandaa kisaikolojia,angekuwa ana bikra kweli basi angelikuwa na furaha zaidi kwani anaenda kumpatia mumewe hiyo zawadi ya bikra,angetaka hata waondoke wakati wa zawadi!Ukizubaa kidogo tu,unakatwa kidizaini,kuna wasanii dunia hii,kama kweli alikuwanayo,hongera zake!
 
hapa tumefungiwa mbuzi kwenye gunia, ngoja niwapishe wachangiaji wanaoamini habari hii.
 
Kwa hiyo hata hajawahi kuendesha baiskeli?!Nahisi huyo alikuwa anataka kuteka attention yenu wasimamizi ili mumuone mtu safi!Kabla ya ndoa kuna mafundisho mbalimbali na kuwaandaa kisaikolojia,angekuwa ana bikra kweli basi angelikuwa na furaha zaidi kwani anaenda kumpatia mumewe hiyo zawadi ya bikra,angetaka hata waondoke wakati wa zawadi!Ukizubaa kidogo tu,unakatwa kidizaini,kuna wasanii dunia hii,kama kweli alikuwanayo,hongera zake!

Usemalo linawezekana lakini hofu yake yeye ni maumivu ya sex kwa mara ya kwanza wala sio zaidi ya hilo
 
Kuna vitu huwa havihitaji ushauri, tuwaache wenyewe huko ndani watajua chakufanya.
 
Huyo alikua anatafuta umaarufu tu hana lolote wenye bikra huwa hawatabgazi kama taarifa ya habari
 
kwahyo umeileta hapa ili sisi tukamlale huyo bi arusi kabla ya mmewe... Si ndio!!!???
 
U seem more excited than z groom.
Unaonyesha ulivyoambiwa n mke tu kuwa biharusi anabikra mate yamekutokaaaaaa.
 
Back
Top Bottom