Kisa cha maharusi wapya: Ungekuwa wewe ungefanyaje katika hali hii?

swali je inakuwaje bibi harusi abadilike sura baada ya kuongea ma mtaroni?
does it mean mkeo ndio anajua zaidi kuwa jamaa ni bikira na sio bibi harusi?
that means mshikaji wala sio bikira huenda mkeo alishaliwa nae lol.

mna maneno jamn
 
samahani lakini,, mkeo ulimkuta na bikra?....ina maana mkeo alishindwa kumshauri mpaka akwambie wewe?,,, mkeo alikuwa na nafasi ya kumweleza namna ya kuhandle that situation without wewe......au alitaka wewe ukamsaidie?
 
Hadi unakuja Kuandika hapa huyo so called Bibi harusi Bikra keshapokea Mgegedo wa nguvu sasa si tuchangie nini?

Heheheheee hili ongezi limeniingia vilivyo jaman khaaa kwaio hatuna cha kuchangia si ndio mkuu huhuhuuuuu ni hayo tu aiseee
 
samahani lakini,, mkeo ulimkuta na bikra?....ina maana mkeo alishindwa kumshauri mpaka akwambie wewe?,,, mkeo alikuwa na nafasi ya kumweleza namna ya kuhandle that situation without wewe......au alitaka wewe ukamsaidie?

mke ameshindwa kusimama yeye kama yeye jaman khaa kweli sisi hatuna kile wanaita cha kutunzia siri aaaghh
 
Ulipewa kusimamia bila kujua wajobi wako. Kusimamia sip kupigwa picha nyingi na maharusi au kuwahi kula na kupata mapaia ya kuku
 
sioni issue hapa, nimeshasimamia binti wa hivyo, lakini mbona tuliwapa mafundisho wote yaani bibi arusi alifundwa, na bwana arusi alifundishwa, sasa kama ninyi mmesimamia hadi ukumbini binti anakosa amani kiasi choa kumuita msimamizi nje, binafsi sielewi, kwani kusimamia arusi mnaelewa kweli maana yake au huwa watu wanasimama tu na kutafuta rafiki au mtu anayefanana sura, ni zaidi ya hayo.

Wa kulaumiwa ktk hili ni wasimamizi, hamkutimiza wajibu wenu tangu mwanzo, nyie mliangalia tu ni rafiki wa mkeo,tena kwa mtazamo wangu, rafiki hapaswi kusimamia arusi. hii sijaipenda kabisa maana na mimi nilishasimamia arusi ya namna hii lakini nilitimiza wajibu wangu kama mama, sio kuulizana hapa kwenye kadamnasi aise
 
Sio kila bikra anapofanya sex kwa mara ya kwanza asikie maumivu km watu wengi wanavyodhan
kumbuka huyu ni mgeni kabisa katika maswala ya sex na habari alizonazo kichwani ni kuwa sexual intercourse ya kwanza inakuja na maumivu makali. hicho ndicho kilichopo kichwani kwake na ndicho kilicholeta hofu
 
Ulipewa kusimamia bila kujua wajobi wako. Kusimamia sip kupigwa picha nyingi na maharusi au kuwahi kula na kupata mapaia ya kuku
Asante mkuu ingawa bado hujanisaidia kwani kama kosa lilishafanyika na haiwezi kuwa revised kwa ndoa kurudiwa kwa sababu wasimamizi hawakutimiza wajibu wao ipasavyo kabla.
 
swali je inakuwaje bibi harusi abadilike sura baada ya kuongea ma mtaroni?
does it mean mkeo ndio anajua zaidi kuwa jamaa ni bikira na sio bibi harusi?
that means mshikaji wala sio bikira huenda mkeo alishaliwa nae lol.
You get it wrong. hebu soma upya uelewe vema mkuu then urudi kwa majadiliano
 
Wewe ulimweleza nini kwani?
Yaani mtu ni mkewe,hawajawahi kukutana kimwili waliamua kusubiri ndoa,leo wamefunga ndoa ukamshauri mume afanye subira,wewe kama nani? Na huyo bidada kama kweli anaogopa kwa nini alikubali kufunga ndoa? Nina wasi wasi aliongopa sasa anahofia kuumbuka tu.
Kama kweli anayo ameona mkeo ndio mtu wa kushauriana nae kuhusu hilo zaidi ya mume watakaye share kitanda? Mi ningekuwa mkeo ningemuuliza anataka apewe miaka mingapi ya kusubiri ili akifanya asiumie.
subira niliyozungumzia hapa ni kwamba bwana arusi asiwe na kasi kana kwamba anafanya na mzoefu bali afanye tendo kwa taratibu kumuepushia bi arusi maumivu makali, sio kwamba asifanye naye siku hiyo na kuendelea kusubiri. sasa hapo ndoa itakuwa na maana gani dada? hope umenielewa sasa. tatizo la bibi arusi ni kuyafikiria tu yale maumivu ya kwanza ambayo anaamili kuwa lazima ayapate wakati wa sex siku hiyo, only that!
 
Arusi imefanyika katika ukumbi mmoja Sinza na mimi na mke wangu ndio tulikuwa wasimamizi kwa wanafamilia hawa wapya. Ilipofika wakati wa chakula, bibi arusi na matron wake (my wife) waliitana kando kuteta huku bibi harusi akionekana kupoteza uchangamfu kidogo.
ni kweli I got you wrong, so sory,,nlidhani umeandika BWANA HARUSI ndio hajawahi kufanya...nafuta hoja kaka.

You get it wrong. hebu soma upya uelewe vema mkuu then urudi kwa majadiliano
 
Back
Top Bottom