Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,913
- 30,254
- Thread starter
- #321
Abu...Sheikh Mohammad Said
Dola inaletwa na Allah na si vinginevyo
Niseme jambo
Hakuna kheri katika Umma,ikiwa Ujinga ndio alama yao
Hakuna Dola itakayosimama imara ikiwa Watu wapo mbali na misingi mama mfano wa Yale walioshikamana na Maswahaba رضي الله عنهم
Wengi wa Masheikh zetu wamekumbatia Ushirikina,Uzushi,Ujinga na Maslah ya nafsi zao
Ni wachache sana katika wachache
Tumuogope sana Allah kwa kila tulifanyalo
Hakika.