Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,553
- 45,825
- Thread starter
- #41
bora umekuwa mkweli mkuu?Huyo ni mjukuu wa wale wazee waliokufa kipindi cha vita ya pili ya dunia.
bora umekuwa mkweli mkuu?Huyo ni mjukuu wa wale wazee waliokufa kipindi cha vita ya pili ya dunia.
Mr PMBro,
Utapigwa ban ya PM shauri yako
unaandika tu hapa vile una mb za promotionMiss una wasiwasi na mimi kabisa nikipenda nimependa ata usipokuwa na macho miguu mikono nk
Noma saana huyo.Mr PM
huyo ana campany yake ambayo ni Ids zake zingine.Ila nahisi wewe na yeye kampun moja
Natania tu
Mhhhhh za promotion zinapatika wapi ngoja mimi nipeleke yangu clouds muda huuunaandika tu hapa vile una mb za promotion
Duuuh kazi kweli kwelihuyo ana campany yake ambayo ni Ids zake zingine.
Wanawake ndio hakuna kabisaWako wachache sana wanaume wa hivyo
Ni kweli wote tumekuwa wanaumeWanawake ndio hakuna kabisa
Mwanaume akiwa na kasoro kiduchu tu hata salamu yake wadada mnaitika kwa tabu labda awe na sabuni ya roho (pesa) ndipo upofu huwapata.Ni kweli wote tumekuwa wanaume
SafiMimi mmojawapo