Kisa cha kweli Mjini Morogoro

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,850
4,545
2021 Morogoro, nilifikia hotel moja mjini pale floor ya 3, kwa chini kuna Restaurant, nikaenda kupata food, nikapata demu muhudumu pale pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake ambae ni mpishi wa jikoni.

Demu walivofunga akaja room kwangu, watu wakamsanua mwana wa jikoni kuwa manzi yako imezama room kwa mgeni ilikuwa ni shida hiyo siku jamani hatimae nilitoka salama lkn sikulala tena hapo.

Kuna muda wanawake wanaingiwa na tamaa gani sijui, upo na mtu wako lakini usemi kama una mtu dah!

Mnatupa shida wanaume, siku ile kosa kuna na hela ya kuwapoza zile njemba sasa hivi nisingeweka huu uzi jukwaani dada deq
 
Nijuavyo, kwa hoteli nyingi, hata kama demu wa hapo hotelini ana mchepuko au mume wake hapo hapo hotelni na ukamuomba akakubali, mteja hawezi kuletewa vurugu hotelini, sbb biashara ya hoteli itaharibika kabisa, najua owner wa hoteli anaweza hata mfukuza huyo mwanamke ikiwa atatia aibu hapo hotelini kwa kumletea vurugu mteja wa hoteli, sbb ww huna kosa kumtongoza na akakukubalia, in fact usikute kashafukuzwa kwa issue yako hiyo pamoja na jamaa yake, sema sbb ww hujui tu.

2021 Morogoro, nilifikia hotel moja mjini pale floor ya 3 , kwa chini kuna Restaurant , nikaenda kupata food, nikapata demu muhudumu pale pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake ambae ni mpishi wa jikoni.

Demu walivofunga akaja room kwangu, watu wakamsanua mwana wa jikoni kuwa manzi yako imezama room kwa mgeni...ilikuwa ni shida hiyo siku jamani hatimae nilitoka salama lkn sikulala tena hapo

Kuna muda wanawake wanaingiwa na tamaa gani sijui, upo na mtu wako lkn usemi kama una mtu dah...!!

Mnatupa shida wanaume, siku ile kosa kuna na hela ya kuwapoza zile njemba sasa hivi nisingeweka huu uzi jukwaani dada deq
 
Back
Top Bottom