Hell is real
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 204
- 364
- Thread starter
- #201
Njoo inbox kama unataka kujifunza, ila kama unatumia uzoefu wa kukutana na watu kama mm usije mkuu!! Sitaki kufundisha mtu mwenye misimamo maana hataelewa yatabaki mashindano tu!!Umekariri vifungu vya biblia lakini hujui namna ya kuviishi. Na kwa sababu hujajibu maswali yangu ya msingi huku juu nakuruhusu endelea kubishana na members wengine humu maana watu aina yako nimekutana nao na nitakutana nao sana tu.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app