Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Hell is real

JF-Expert Member
Aug 14, 2021
204
500
Umekariri vifungu vya biblia lakini hujui namna ya kuviishi. Na kwa sababu hujajibu maswali yangu ya msingi huku juu nakuruhusu endelea kubishana na members wengine humu maana watu aina yako nimekutana nao na nitakutana nao sana tu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Njoo inbox kama unataka kujifunza, ila kama unatumia uzoefu wa kukutana na watu kama mm usije mkuu!! Sitaki kufundisha mtu mwenye misimamo maana hataelewa yatabaki mashindano tu!!
 
Smartkahn

Senior Member
Jun 22, 2020
156
250
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

Napingana na hiyo hadithi we ungesimulia ukatuambia tu hadithi yetu inatufundisha 1 2 3, basi .

Usituaminishe kua ni ya kweli, na kuipinga hiyo hadithi haina maana mimi ni mpagani.
 
cool d

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,194
2,000
Huo mstari haukuhusu.hukuandikiwa wewe
Na ndicho kitu kinachanganya wengi, kutumia ahadi za mtu mwingine kujifanya zako au kumuahidisha mwingine kwa kupitia ahadi zisizozake kinavuruga wengi, mtu aambiwe tu atende mema awe na uwepo wa Mungu au achague kutenda mabaya awe na uwepo wa shetani na siyo kumuamisha na ahadi za mtu mwingine.
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,312

Hapo ndio wanafeli
 
cool d

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,194
2,000
Na ninavyopenda kunyonya K hata kumtaja Mungu naona aibu.
Usione aibu fanya katika misingi ya wema yaani katika ndoa Ili roho yako isichafuke ibaki na Mungu wako na uendelee kumutaja bila woga wowote.
 
Biboz

JF-Expert Member
Jun 4, 2019
251
250
Habari ya asubuhi wakuu!! Hiki ni kisa cha kweli kwa ambaye sio muumini wa Mbinguni na kuzimu hivyi vyitu ni halisi!!!
Miaka kadhaa iliyopita ndugu yangu, aliumwa sana wakati yupo hospitalini tunaamuuguza, alikuwa ameokoka (mlokole), hivyo kwenye ile wodi wachungaji mbalimbali walikuwa wanapishana kuja kumuombea maana aliumwa kipindi kirefu sana, Siku moja jioni alizidiwa na hatimae kufariki dunia( kwa mjibu wa dakitari ) baada ya taratibu za hapa na pale mwili kuandaliwa! Kupelekwa mchowari alipiga chafya na kurejea na kutoka pale akawa mzima mpaka leo, alichokisema ni hiki hapa baada ya kuzinduka
1: kuna maisha baada ya haya, anasema alitoka nje ya mwili wake na akaona jinsi dakitari alivyokuwa anampima pima na jinsi ndugu walivyoanza kulia, baada ya hapo alijikuta yupo dunia nyingine kabisa tofauti na hii!!
2: anaendelea kusema unakuwa na akili zako zote na kumbukumbu zako zote, maana yeye alipofika eneo hilo alikuwa anakumbuka kila kitu kilichopo duniani, na alijua amekufa!
3: matendo yako ndo yataamua uende njia ipi , ya mbinguni au kuzimu, anasema baada ya kufika eneo aliona kwa mbali majitu mawili ya kutisha yanakimbia kuja kumlaki!, lakini ghafula wakashuka watu wawili wamevaa nguo nyeupe wale majitu waliopoona wale watu wawili walirudi nyuma, wale malaika wakamwambia arudi abatizwe kwa maji mengi, maana hawezi kuingia mbinguni, na ndo maana wale majitu yalikuwa yanamfuata!! Baada ya kuambiwa rudi duniani ukabatizwe ndipo akarejea duniani!
Note:
1:Hamna mtu atakayeenda mbinguni bila kumwamini Yesu!!
2: ukitaka kwenda mbinguni fuata yote aliyoyafanya Yesu ikiwemo ubatizo aliobatizwa sio vinginevyo!!!
Huu ushuhuda ni kweli wakuu!! Sio wa kudharau!!!
Ngoja nikae kimya tuu
 
Hell is real

JF-Expert Member
Aug 14, 2021
204
500
Usione aibu fanya katika misingi ya wema yaani katika ndoa Ili roho yako isichafuke ibaki na Mungu wako na uendelee kumutaja bila woga wowote.
Warumi 1:24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. Warumi 1:25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina. Warumi 1:26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; Warumi 1:27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao. Warumi 1:28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa. Warumi 1:29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya, Warumi 1:30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao, Warumi 1:31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema; Warumi 1:32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,549

Be blessed in Jesus name...
 
0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
1,924
2,000
Hyo hali hata mimi iliwah nipata,nilikunywa sumu nkazimia sku tatu npo polini niliona mara nipo kuzimu mara mbinguni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom