Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Ni kweli kuwa mbingu ni halisi na ni kweli kuwa jehanam itakuwepo...ila kwa sasa haipo. Hakuna mahala ambapo watu wakifa now wanaenda either mbinguni au wanaenda kuchomwa moto jehanum.

Kama kweli watu wakifa tu now wanaenda mbinguni au Jehanum kuna haja gani sasa ya kuwa na ufufuo aliouahidi Yesu? Yaani kama mtu keshafika mbinguni aliko Mungu...anafufuliwa kwenye kiyama ili iweje tena? Anafufuliwa ili arudishwe tena huko huko mbinguni ambapo alishaenda alipokufa? Illogical.

Maandiko yanasema kuwa kutakuwa na ufufuo wa aina mbili. Ufufuo wa wenye haki na waovu...hawa wote watafufuliwa kupokea malipo yao ktk hukumu...yaani wenye haki kuupata uzima wa milele na waovu kupotea milele.

Ikiwa kama watu wakifa wanaenda direct mbinguni au jehanum kama ulivyosema...kuna haja gani huo ufufuo wa mwisho na hukumu kuwepo?

Kwa sasa hakuna hiyo Jehanum maana kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo 20 moto utakaowaunguza waovu utashuka kutoka mbinguni baada ya waovu kufufuliwa na kuhukumiwa ktk ufufuo wa 2. Kwa maana hiyo moto wa jehanum ni tukio lililoko in the future si sasa.

Yesu pia alisema atakapokuja atawatuma malaika zake wawakusanye wenye haki toka kila kona ya nchi...wakifufuliwa toka makaburini na kuungana na wenye haki watakaokuwa hai wakati huo ili wamlaki Yesu mawinguni awapeleke heaven.

Sasa ikiwa tukio la kuwafufua wafu wenye haki na waovu liko mbeleni, yaani ajapo Yesu...hao unaosema wanakufa na kwenda directly mbinguni na jehanum ni akina nani?

Ufunuo 20 inasema kuwa ktk huo moto wa Jehanum utakaoshuka toka mbinguni atatupwa shetani pia na malaika zake na waovu wote...lakini kwenye kisa chako unasema kuwa kuna majitu ya kutisha yalimfata nduguyo ili kumpeleka Jehanum na malaika wa Mungu wakaingilia kati..

Sasa kati yako na biblia nani mkweli? Maana shetani hana control ya moto wa jehanum kiasi kwamba atume malaika zake wawapeleke waovu motoni...maana Shetani mwenyewe atachomwa na moto huo huo wa Jehanum.

Lastly...Mungu hakuumba majitu ya kutisha kama hayo majitu mawili uliyosema ndugu yako aliyaona yakimfuata. Malaika walioasi wakiongozwa na shetani mwenyewe waliumbwa wakiwa na mwonekano mzuri na wako hivyo hata sasa. Sasa sijui hao majitu unaowasemea wametokea wapi?
 
Nimefundishwa na Roho wa Mungu
Yohana 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia. Yohana 14:27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
Vipi nikisema kwamba hayo niliyokwambia hapo juu sio yangu bali Roho wa Mungu ndiye kanipa nikupashe habari. Je,utaniamini au la?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
2 Timotheo 3:1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 2 Timotheo 3:2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, 2 Timotheo 3:3 wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, 2 Timotheo 3:4 wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; 2 Timotheo 3:5 wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao. 2 Timotheo 3:7 wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
1. Mkuu unaitwa mchungaji nani?
2. Nahitaji kuona sura yako maana bible haikumficha mtu.
3. Huku siyo mahali sahihi, nenda kwa gwajima mkafufue wafu.
 
Vipi nikisema kwamba hayo niliyokwambia hapo juu sio yangu bali Roho wa Mungu ndiye kanipa nikupashe habari. Je,utaniamini au la?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
1 Yohana 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 1 Yohana 4:2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. 1 Yohana 4:3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. 1 Yohana 4:4 Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia. 1 Yohana 4:5 Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia 1 Yohana 4:6 Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.
 
Nimefundishwa na Roho wa Mungu
Yohana 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia. Yohana 14:27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
Huyo roho wa Mungu ndio huyo mjomba wako aliyekufa then akapiga chafya?
 
1. Mkuu unaitwa mchungaji nani?
2. Nahitaji kuona sura yako maana bible haikumficha mtu.
3. Huku siyo mahali sahihi, nenda kwa gwajima mkafufue wafu.
Kwa sababu ya sheria za huku hivyo vyitu haviruhusiwi, natii mamlaka, tofauti na hapo una shida njoo inbox plZ
Warumi 13:1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Warumi 13:2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu. Warumi 13:3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake; Warumi 13:4 kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu. Warumi 13:5 Kwa hiyo ni lazima kutii, si kwa sababu ya ile ghadhabu tu, ila na kwa sababu ya dhamiri.
 
Huyo roho wa Mungu ndio huyo mjomba wako aliyekufa then akapiga chafya?
1 Wakorintho 2:13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. 1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. 1 Wakorintho 2:15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. 1 Wakorintho 2:16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
 
1 Yohana 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 1 Yohana 4:2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. 1 Yohana 4:3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. 1 Yohana 4:4 Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia. 1 Yohana 4:5 Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia 1 Yohana 4:6 Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.
Safi sana. Kumbe unajua hata namna ya kuzijaribu roho kwamba zimetokana na Mungu au la. Haya hebu nambie tayari umeshaijaribu roho yangu au bado?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kuwa mbingu ni halisi na ni kweli kuwa jehanam itakuwepo...ila kwa sasa haipo. Hakuna mahala ambapo watu wakifa now wanaenda either mbinguni au wanaenda kuchomwa moto jehanum.

Kama kweli watu wakifa tu now wanaenda mbinguni au Jehanum kuna haja gani sasa ya kuwa na ufufuo aliouahidi Yesu? Yaani kama mtu keshafika mbinguni aliko Mungu...anafufuliwa kwenye kiyama ili iweje tena? Anafufuliwa ili arudishwe tena huko huko mbinguni ambapo alishaenda alipokufa? Illogical.

Maandiko yanasema kuwa kutakuwa na ufufuo wa aina mbili. Ufufuo wa wenye haki na waovu...hawa wote watafufuliwa kupokea malipo yao ktk hukumu...yaani wenye haki kuupata uzima wa milele na waovu kupotea milele.

Ikiwa kama watu wakifa wanaenda direct mbinguni au jehanum kama ulivyosema...kuna haja gani huo ufufuo wa mwisho na hukumu kuwepo?

Kwa sasa hakuna hiyo Jehanum maana kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo 20 moto utakaowaunguza waovu utashuka kutoka mbinguni baada ya waovu kufufuliwa na kuhukumiwa ktk ufufuo wa 2. Kwa maana hiyo moto wa jehanum ni tukio lililoko in the future si sasa.

Yesu pia alisema atakapokuja atawatuma malaika zake wawakusanye wenye haki toka kila kona ya nchi...wakifufuliwa toka makaburini na kuungana na wenye haki watakaokuwa hai wakati huo ili wamlaki Yesu mawinguni awapeleke heaven.

Sasa ikiwa tukio la kuwafufua wafu wenye haki na waovu liko mbeleni, yaani ajapo Yesu...hao unaosema wanakufa na kwenda directly mbinguni na jehanum ni akina nani?

Ufunuo 20 inasema kuwa ktk huo moto wa Jehanum utakaoshuka toka mbinguni atatupwa shetani pia na malaika zake na waovu wote...lakini kwenye kisa chako unasema kuwa kuna majitu ya kutisha yalimfata nduguyo ili kumpeleka Jehanum na malaika wa Mungu wakaingilia kati..

Sasa kati yako na biblia nani mkweli? Maana shetani hana control ya moto wa jehanum kiasi kwamba atume malaika zake wawapeleke waovu motoni...maana Shetani mwenyewe atachomwa na moto huo huo wa Jehanum.

Lastly...Mungu hakuumba majitu ya kutisha kama hayo majitu mawili uliyosema ndugu yako aliyaona yakimfuata. Malaika walioasi wakiongozwa na shetani mwenyewe waliumbwa wakiwa na mwonekano mzuri na wako hivyo hata sasa. Sasa sijui hao majitu unaowasemea wametokea wapi?
Tofautisha ziwa la moto na kuzimu!! Ziwa la moto hamna mtu umewahi kuingia ila kuzimu watu wenye dhambi wakifa wanaenda huko( magonjeo ya watu au selo) hivyo haimanishi selo hamna mateso !! Leo kama ukienda selo kabla ya kuhukumiwa wewe bado unapitia mateso, njoo inbox au soma kisa hiki hapa umenielewa
Luka 16:19 Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa. Luka 16:20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi, Luka 16:21 naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake. Luka 16:22 Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Luka 16:23 Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Luka 16:24 Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu. Luka 16:25 Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa. Luka 16:26 Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu. Luka 16:27 Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu, Luka 16:28 kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso. Luka 16:29 Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao. Luka 16:30 Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu. Luka 16:31 Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.
 
1 Wakorintho 2:13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. 1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. 1 Wakorintho 2:15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. 1 Wakorintho 2:16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Paleka ujinga wako huko kwenu. Na umkumbushe mjomba wako kufa maana aliambiwa arudi kubatizwa
 
Safi sana. Kumbe unajua hata namna ya kuzijaribu roho kwamba zimetokana na Mungu au la. Haya hebu nambie tayari umeshaijaribu roho yangu au bado?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
1 Wakorintho 2:11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
 
Midanganyika inavyoamini story za kusadikika kama hizi na mambo ya ushirikina ambayo hayapo itaamini hata hii.
 
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Paleka ujinga wako huko kwenu. Na umkumbushe mjomba wako kufa maana aliambiwa arudi kubatizwa
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
1 Wakorintho 2:11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
Umekariri vifungu vya biblia lakini hujui namna ya kuviishi. Na kwa sababu hujajibu maswali yangu ya msingi huku juu nakuruhusu endelea kubishana na members wengine humu maana watu aina yako nimekutana nao na nitakutana nao sana tu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Ni kweli kuwa mbingu ni halisi na ni kweli kuwa jehanam itakuwepo...ila kwa sasa haipo. Hakuna mahala ambapo watu wakifa now wanaenda either mbinguni au wanaenda kuchomwa moto jehanum.

Kama kweli watu wakifa tu now wanaenda mbinguni au Jehanum kuna haja gani sasa ya kuwa na ufufuo aliouahidi Yesu? Yaani kama mtu keshafika mbinguni aliko Mungu...anafufuliwa kwenye kiyama ili iweje tena? Anafufuliwa ili arudishwe tena huko huko mbinguni ambapo alishaenda alipokufa? Illogical.

Maandiko yanasema kuwa kutakuwa na ufufuo wa aina mbili. Ufufuo wa wenye haki na waovu...hawa wote watafufuliwa kupokea malipo yao ktk hukumu...yaani wenye haki kuupata uzima wa milele na waovu kupotea milele.

Ikiwa kama watu wakifa wanaenda direct mbinguni au jehanum kama ulivyosema...kuna haja gani huo ufufuo wa mwisho na hukumu kuwepo?

Kwa sasa hakuna hiyo Jehanum maana kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo 20 moto utakaowaunguza waovu utashuka kutoka mbinguni baada ya waovu kufufuliwa na kuhukumiwa ktk ufufuo wa 2. Kwa maana hiyo moto wa jehanum ni tukio lililoko in the future si sasa.

Yesu pia alisema atakapokuja atawatuma malaika zake wawakusanye wenye haki toka kila kona ya nchi...wakifufuliwa toka makaburini na kuungana na wenye haki watakaokuwa hai wakati huo ili wamlaki Yesu mawinguni awapeleke heaven.

Sasa ikiwa tukio la kuwafufua wafu wenye haki na waovu liko mbeleni, yaani ajapo Yesu...hao unaosema wanakufa na kwenda directly mbinguni na jehanum ni akina nani?

Ufunuo 20 inasema kuwa ktk huo moto wa Jehanum utakaoshuka toka mbinguni atatupwa shetani pia na malaika zake na waovu wote...lakini kwenye kisa chako unasema kuwa kuna majitu ya kutisha yalimfata nduguyo ili kumpeleka Jehanum na malaika wa Mungu wakaingilia kati..

Sasa kati yako na biblia nani mkweli? Maana shetani hana control ya moto wa jehanum kiasi kwamba atume malaika zake wawapeleke waovu motoni...maana Shetani mwenyewe atachomwa na moto huo huo wa Jehanum.

Lastly...Mungu hakuumba majitu ya kutisha kama hayo majitu mawili uliyosema ndugu yako aliyaona yakimfuata. Malaika walioasi wakiongozwa na shetani mwenyewe waliumbwa wakiwa na mwonekano mzuri na wako hivyo hata sasa. Sasa sijui hao majitu unaowasemea wametokea wapi?

Mkuu shetani ni kiumbe cha kutisha soma
Ezekieli 28:17 Moyo wako uliinuka kwa sababu ya uzuri wako; umeiharibu hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako; nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya wafalme, wapate kukutazama. Ezekieli 28:18 Kwa wingi wa maovu yako, katika uovu wa uchuuzi wako, umepatia unajisi patakatifu pako; basi nimetokeza moto kutoka ndani yako, nao umekuteketeza, nami nimekufanya kuwa majivu juu ya nchi, machoni pa watu wote wakutazamao. Ezekieli 28:19 Wote wakujuao kati ya kabila za watu watakustaajabia; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwapo tena hata milele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom