Kisa cha jamaa aliye vamiwa na majambazi..................... .

Niko mwenyewe lakini nimeshindwa kutoa loudspeaker ya kicheko. Dah.
 
Jamaa alivamiwa na jambazi muda wa night lakini kwa bahati mbaya hakawa hana silaha yoyote............................ DUH JAMAA IKABIDI AJIBANZE NYUMA YA MLANGO AFU ALIPOINGIA JAMBAZI WA KWANZA JAMAA AKAMLAMBA JAMBAZI SIKIO DUH JAMBAZI ALIKIMBIA BALAAAAAAAAAAA, KO MCHIZI AKASAVE.....................KUFA.

kuchekesha kipaji. Au mnasemaje wanajamii?
 
Mhurumieni mwenzenu, nafikiri kichekesho alichokitaka ni comments za wana JF
 
Back
Top Bottom