Mweweso
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 687
- 753
Oh!Kumbe ulijibu? Mwanahabari Huru tafadhali mwaga mboga.Sikufukuzwa badilika. Acha uongo mangi. Mkataba uliisha hamkunipa tena maana nilikuwa nadhibiti wizi wenu kama Administrator
Jina lako tu halihitaji kutumia nguvu kujua utakua unatetea upande ganiHata kama ni siasa ila punguza uongo. Fuso mbili million 400???
Usikariri ndugu kuhusu adhabu au hatua stahiki za kuchukua kwa mtu kama huyo.Kufukuzwa nayo ilikuwa ni hatua ya kinidhamu.Kama ni mwizi si angelishitakiwa mahakamani? Maana haya ni majungu hayana ushahidi wowote na ni kuchafuana tu huko.
Kumbe na ninyi ni majizi.
Wachaga ni wezi kila mahali.
Duh umempigilia msumari tena wa kujengea jahaziNikiangalia sura yako sioni huo uadilifu Bali opportunity cost
Sura imekaa ....Kuna kaukweli nimeangalia hii sura 3!!
View attachment 961820
konk konk konk mastersHabari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.
Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi
Mwanahabari Huru
mwenzako ana 🆔 mbili piga kimya msumali umemuingiaUmeandika kuwa amemuuliza na kumrushia tuhuma.Amemtaka mtuhumiwa aje akanushe ili ushahidi uletwe.Tulia mkuu,utafurahi.
Nimesikia kuwa amekuwa "james delicious" kwa sasa.Yuko CCM lakini kila siku anaandika mada zake akijifanya yuko Chadema.
Masikini kamanda aisiyechoka amekuwa punga ndiyo maana anaropoka ovyo.
Vipi mgahawa wake uko wapi tukamuunge mkono?Nampata vzr sana
Acha niishie kucheka tu
Ova
Benson Mramba duh 🙄Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.
Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi
Mwanahabari Huru
Kumbe huyu Kamanda Asiyechoka ni punga! Alianza lini tena jamani, mbona kabla hajafukuzwa CHADEMA alikuwa mwanaume kamili?Kamanda mchovu amka kumepambazuka watu walikua wanakuchora tuuuu
Kumbe kwenu hakuna magereza na polisi?Kumbe na ninyi ni majizi.
Wachaga ni wezi kila mahali.