Kisa cha Ali Mwinyi na Kitwana Selemani Kondo 1950s

Umepania kweli na uislamu wako...
Pohjois...
Haya si mambo ya kupania.
Haya ni mambo ya kufanya utafiti na rejea na kufanya rejea juu ya rejea.

Nimesoma kila kitabu na kila nyaraka inayohusu historia ya Tanganyika.

Nimehoji watu wengi sana hata wale ambao kwa juu unaweza ikakujia
kuwa hawa hawawezi kuwa na taarifa za maana.

Katika haya nimefaidika sana.
Nitakupa mfano.

Mtu aliyenifahamisha kuwa kadi za mwanzo mwanzo za TANU ziliuzwa
soko la Kariakoo na Market Master mwenyewe Abdul Sykes ukimuona
unaweza ukampuuza lakini na yeye ni katika wanachama wa mwanzo wa
TANU.

Huyu ni Mzee Abdallah aliyekuwa mhudumu katika ofisi ya Market Master.

Akanieleza mengi hadi kufikia siku Abdul alipovamiwa na Town Clerk Mzungu
kaja kukamata kadi za TANU.

Naam hii ndiyo historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sasa huku si kupania huku ni kuandika historia kama nilivyoipokea kutoka
kwa wazee wangu.

Najua historia hii inachoma lakini tufanyeje?
Tuikatae au chembelecho niukatae Uislam wangu?
 
Mkuu mambo ya link tena? Shusha nondo zako hapa kama ambavyo imekuwa desturi.
Compact,
Hiyo video inakwenda dakika 9.35 tu.
Ukiingia katika link utaikuta ya dakika 18 ndiyo kisa nikakuwekea hapo.
 
Pohjois...
Haya si mambo ya kupania.
Haya ni mambo ya kufanya utafiti na rejea na kufanya rejea juu ya rejea.

Nimesoma kila kitabu na kila nyaraka inayohusu historia ya Tanganyika.

Nimehoji watu wengi sana hata wale ambao kwa juu unaweza ikakujia
kuwa hawa hawawezi kuwa na taarifa za maana.

Katika haya nimefaidika sana.
Nitakupa mfano.

Mtu aliyenifahamisha kuwa kadi za mwanzo mwanzo za TANU ziliuzwa
soko la Kariakoo na Market Master mwenyewe Abdul Sykes ukimuona
unaweza ukampuuza lakini na yeye ni katika wanachama wa mwanzo wa
TANU.

Huyu ni Mzee Abdallah aliyekuwa mhudumu katika ofisi ya Market Master.

Akanieleza mengi hadi kufikia siku Abdul alipovamiwa na Town Clerk Mzungu
kaja kukamata kadi za TANU.

Naam hii ndiyo historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sasa huku si kupania huku ni kuandika historia kama nilivyoipokea kutoka
kwa wazee wangu.

Najua historia hii inachoma lakini tufanyeje?
Tuikatae au chembelecho niukatae Uislam wangu?
Kwa hiyo Wakristo hawakupigania Uhuru wa Tanganyika?
 
Gagongine,
Bandiko langu linahadithia historia ya wazee wangu walivyoshuhudia harakati za uhuru. Huko unakotaka kunipeleka ni kwengine. Labda wewe ufunguenuxi wako uandike hayo.
 
Ahaa! Kaka Mohammed Said mbona nilitaka jibu rahisi tu. Haya Mzee wangu ingawa hujajibu swali langu!
 
Pohjois...
Haya si mambo ya kupania.
Haya ni mambo ya kufanya utafiti na rejea na kufanya rejea juu ya rejea.

Nimesoma kila kitabu na kila nyaraka inayohusu historia ya Tanganyika.

Nimehoji watu wengi sana hata wale ambao kwa juu unaweza ikakujia
kuwa hawa hawawezi kuwa na taarifa za maana.

Katika haya nimefaidika sana.
Nitakupa mfano.

Mtu aliyenifahamisha kuwa kadi za mwanzo mwanzo za TANU ziliuzwa
soko la Kariakoo na Market Master mwenyewe Abdul Sykes ukimuona
unaweza ukampuuza lakini na yeye ni katika wanachama wa mwanzo wa
TANU.

Huyu ni Mzee Abdallah aliyekuwa mhudumu katika ofisi ya Market Master.

Akanieleza mengi hadi kufikia siku Abdul alipovamiwa na Town Clerk Mzungu
kaja kukamata kadi za TANU.

Naam hii ndiyo historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sasa huku si kupania huku ni kuandika historia kama nilivyoipokea kutoka
kwa wazee wangu.

Najua historia hii inachoma lakini tufanyeje?
Tuikatae au chembelecho niukatae Uislam wangu?
yaan unahadithiwa hekaya na mababu zako mkiwa vibarazani mkipiga soga, unageneraliźe km historia ya tanganyika!

[HASHTAG]#msomi[/HASHTAG] mchwara wa waislam!
 
Gagongine hilo nilokupa ni jibu jepesi. Pale Kariakoo palipokuwa panauzwa kadi za TANU alikuwapo babu yangu Sharif Mohamed alikuwa na matundu ya njiwa kama biashara yake. Akiwa pale aliona kila kitu katika haya ninayoeleza. Mambo mepesi kabisa. Bahati mbaya ni kuwa wewe hupendi kuisikia historia hii.
 
Mzee wangu mbona tulifika mahali tukaelewana kuhusu hilo? Au umesahau malumbano yetu yalinukuliwa na Gazeti la JAMHURI na Jenarali Mbena?
 
Mtanganyika hapana si hekaya ukiingia katika nyaraka za wakati ule utawakuta wote hao. Nilipata kuweka hapa historia ya babu yangu Salum Abdallah aliyeongoza general strike tatu Tanganyika dhidi ya Waingereza- 1947, 1949 na 1960. Aliunda TRAU 1955 akiwa rais muasisi...naweza nikaeleza mengi tu ya hawa babu zangu. Huna haja ya kunitukana mimi wala Waislam hawajafanya kosa lolote. Hii ni historia yao. Ikiwa inakukera ipite usinisome.
 
Kuna wakati huwa sielewi waislam huwa wanataka nn... Kwani ukiacha kutumia neno waislam na ukatumia neno linngine inakuaje? Maana hata historia ya Tanganyika haitaji dini bali majina na makabila tu sasa uwe muislam au mpagani inasaidia nn hapa!!
 
Gagongine hebu nikumbushe tulielewana nini.
Mada ilikuwa sababu za Waislam kuwa nyuma Kielimu, Kisiasa na Kijamii.Tulibishana sana lakini kimsingi ilifika mahali tuliona kulikuwa na tatizo mwanzoni tulipopata Uhuru na ndio ilisababisha Waislam kuwa nyuma ukilinganisha na wenzao.
 
Gangongine,
Nimetafiti na kuandika, ''paper,'' kadhaa kuhusu tatizo hilo.
Nalijua vizuri sana.

Nadhani unajua kuwa EAMWS ilivunjwa kwa sababu walitaka
kujenga Chuo Kikuu 1968 na Mufti Sheikh Hassan bin Amir
akafukuzwa.

Nadhani unajua serikali pia ilikataa kutoa kibali kwa IOC kujenga
Chuo Kikuu Tanzania na chuo hicho kikajengwa Mbale, Uganda.

Nadhani unajua pia kuwa Darul Iman walitaka kujenga shule ya
ufundi Kibaha wakahujumiwa na mradi ukahamishiwa Somalia
lakini Aboud Jumbe akaingilia kati kwa hoja kuwa fedha ni za
Tanzania na kama Bara hawataki Waislam wajengewe hiyo shule
mradi uhamishiwe Zanzibar.

Darul Iman badala ya shule wakajenga Chuo Kikuu Tunguu.
Mimi ni mmoja wa kamati ile ya mradi huo wa chuo hicho.

Najua mengi sana kuhusu nchi yetu inavyoendeshwa na maamuzi
yake inapokuja masuala ya Waislam hasa katika elimu.

Fungua uzi nitakuja kutoa darsa kuhusu Waislam na tatizo la Elimu
Tanzania.
 
Mtanganyika hapana si hekaya ukiingia katika nyaraka za wakati ule utawakuta wote hao. Nilipata kuweka hapa historia ya babu yangu Salum Abdallah aliyeongoza general strike tatu Tanganyika dhidi ya Waingereza- 1947, 1949 na 1960. Aliunda TRAU 1955 akiwa rais muasisi...naweza nikaeleza mengi tu ya hawa babu zangu. Huna haja ya kunitukana mimi wala Waislam hawajafanya kosa lolote. Hii ni historia yao. Ikiwa inakukera ipite usinisome.
Mkuu naona mnabishana kwa sababu mmeamua tu kutofautiana, ila hakuna hizo tofauti mnazozitengeneza nyie,
Mwili unaviungo vingi sana lakini vyote viko chini ya kichwa kimoja na bila kichwa hivyo viungo vinakufa vyote, mtu akipata ajali akaumia sana kichwani mwili wote unakufa lakini akiumia mkono ama mguu na kichwa ni kizima basi kiungo hicho ama hutibiwa ama hukatwa na bado mtu akaishi,
Kusema hivyo na maana kuwa ni kweli wazee wa kiislam walikuwa wengi kwenye harakati zile, lakini walikuwa ni viungo na kichwa alikuwa nyerere na ndio maana walichanga fedha akapelekwa marekani UN kudai uhuru, wao wasingeweza kwa sababu ya kielimu, hivyo aliwaongoza kila hatua na wao walitumia busara zao kama wazee kulipa baraka swala lile mpaka likaeleweka na kufanikiwa katika jamii,
Ukisikiliza hotuba ya mwalimu ya kwanza baada ya uhuru,na ya mwisho kabla ya kujiuziru akiwashukuru wazee wa dar, analieleza hilo vizuri!
Kwann wazee wa kiislam walikuwa wengi, ni kwasababu mkoloni alikuwa ana ikulu dar, na nyerere aliendesha harakati kwa sehemu kubwa akiwa dar, na dar ni pwani iliyokuwa imepata influence kubwa ya waarabu, so usitegemee wazee wale wangekuwa wakristo!
LAKINI LILILO KUBWA NNALOTAKA KUSEMA USHRIKIANO WAO ULIKUA NI KAMA WA MWILI NA KICHWA, HAKUNA AMBAE ANGEWEZA PEKE YAKE, WOTE WALIHITAJIANA KILA MMOJA ANA SEHEMU YAKE HIVYO HUWEZI KUTENGANISHA KICHWA NA MWILI,
TUACHE KUTAFUTA TOFAUTI BALI TUSHIRIKIANE, WOTE NI WA MUHIMU NCHI HII, WOTE NI WAMOJA, NDIO ALICHOPIGANIA NYERERE!
 
Gangongine,
Nimetafiti na kuandika, ''paper,'' kadhaa kuhusu tatizo hilo.
Nalijua vizuri sana.

Nadhani unajua kuwa EAMWS ilivunjwa kwa sababu walitaka
kujenga Chuo Kikuu 1968 na Mufti Sheikh Hassan bin Amir
akafukuzwa.

Nadhani unajua serikali pia ilikataa kutoa kibali kwa IOC kujenga
Chuo Kikuu Tanzania na chuo hicho kikajengwa Mbale, Uganda.

Nadhani unajua pia kuwa Darul Iman walitaka kujenga shule ya
ufundi Kibaha wakahujumiwa na mradi ukahamishiwa Somalia
lakini Aboud Jumbe akaingilia kati kwa hoja kuwa fedha ni za
Tanzania na kama Bara hawataki Waislam wajengewe hiyo shule
mradi uhamishiwe Zanzibar.

Darul Iman badala ya shule wakajenga Chuo Kikuu Tunguu.
Mimi ni mmoja wa kamati ile ya mradi huo wa chuo hicho.

Najua mengi sana kuhusu nchi yetu inavyoendeshwa na maamuzi
yake inapokuja masuala ya Waislam hasa katika elimu.

Fungua uzi nitakuja kutoa darsa kuhusu Waislam na tatizo la Elimu
Tanzania.
Hapo sasa ndio unapopapenda! Safari hii sibishani tena maana huelezi mikakati waliyofanya Waislam kujikwamua na unazoita hujuma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom