Kirusi (virus) hatari aliyeanzia China sasa anazagaa dunia nzima

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,881
109,188
A nurse wearing a protective suit and face mask treating the sick in Wuhan has claimed that 90,000 people have already been infected by the coronavirus in China – far more than the figure of just 1,975 issued by government officials.

Her warning from the heart of the outbreak emerged as the Chinese government faced accusations of censoring criticism of its handling of the disease in order to play down the crisis.

The outbreak of the new virus originated in China, where it has infected more than 1,970 people and killed 56, and has spread worldwide.

Speaking in video footage seen online, the unnamed woman says: ‘I’m in the area where the coronavirus started. I’m here to tell the truth. At this moment, Hubei province, including Wuhan area, even China, 90,000 people have been infected by coronavirus.’

Chinese President Xi Jinping, saying the country is facing a grave situation, held a politburo meeting on measures to fight the outbreak, state television reported on Saturday.

The country is facing a 'grave situation' where the coronavirus is “accelerating its spread,” Xi told the meeting, which took place on the Lunar New Year public holiday.

Source: Daily Mail
=======

Gazeti kubwa la "mail on line" la Uingereza lina ripoti kuwa:

Virusi vipya vilianzia China, ambapo vimeambukiza zaidi ya watu 1,970 na kuua watu 56, mpaka sasa na vimeenea ulimwenguni kote.

Serikali ya China inakabiliwa na madai ya kuongezeka kwa upotoshajii wa hesabu za kweli ukubwa wa milipuko na athari kwa watu kuhusu kirusi huyo ajulikae kama "Coronavirus".

Wakosoaji wamesema serikali ya Kikomunisti huko Beijing inachambua video muhimu kutoka kwa wavuti.

Rais wa Uchina Xi Jinping anaonya juu ya 'hali mbaya' ya kirusi hicho cha "coronavirus" kinavyosambaa kwa haraka duniani.

Miji mikuu yote huko (USA) Amerika iko kwenye tahadhari kubwa kwani kesi mbili za coronavirus zinathibitishwa huko Chicago na Washington.

Wamarekani sitini na tatu wanajaribiwa katika majimbo 22 na raia 1,000 wa Amerika wameambiwa waondoke "Ground Zero" huko Wuhan, China".

Mamlaka ya Canada Jumamosi ilithibitisha kesi ya kwanza ya ugonjwa wa coronavirus - mtu aliye na miaka 50 kutoka Toronto.

Kwa hali hiyo inavyoendelea duniani na muingiliano wa wasafiri kati ya Tanzania na China ulivyo mkubwa, tunaiomba serikali yetu ijikite haraka katika suala hili na kuweka "team" madhubuti ya wataalaam wa virusi na magonjwa yanayosambaa kwa haraka ili udhibiti wa kiasi fulani uwepo.

Ukiona mwenzako ananyolewa tia maji zako.

*Tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google translate.
 
Ni ugonjwa hatari sana,lakini virusi vinatepeta kwenye nchi za joto kama kusini mwa janga la sahara
Gonjwa hili lingeanzia Africa kila siku tungeona zile tahadhari zao na huweka vitaa kama traffic lights
 
Chama kitakanusha na kukufungulia kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha. Vilevile kitasema unatumwa na mabeberu kudhoofisha uhusiano mwema na nchi ya China. Watch out the freedom is not to that extent by JIWE
Ndugu yangu katika utu. Hebu tuache siasa za kijinga katika hii habari ya hali ya hatari ambapo kirusi hiki hakitazami ni wa chama kipi kukuvaa.

Hapa inabidi tuachane na ushabiki wa kiasi na wote tuwe Watanzania.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - Invisible
 
Ninamaanisha kuwa hii taarifa huna uhalali wa kutujuza bali wenye mamlaka ni sirikali na chama Cha kijani. Kamuulize mtoto wa Malechela kilichompata
 
Unaharisha? Au uko kwenye kipindi cha joto,people are discussing very sensitive topic then you are bringing nonsense issues
Chama kitakanusha na kukufungulia kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha. Vilevile kitasema unatumwa na mabeberu kudhoofisha uhusiano mwema na nchi ya China. Watch out the freedom is not to that extent by JIWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu katika utu. Hebu tuache siasa za kijinga katika hii habari ya hali ya hatari ambapo kirusi hiki hakitazami ni wa chama kipi kukuvaa.

Hapa inabidi tuachane na ushabiki wa kiasi na wote tuwe Watanzania.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - Invisible
Maneno yako ni mujarab kabisa lakini kuna kijidosari kidogo tu...paragraph ya mwisho ungeilainisha,imekuwa nfumu saana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninamaanisha kuwa hii taarifa huna uhalali wa kutujuza bali wenye mamlaka ni sirikali na chama Cha kijani. Kamuulize mtoto wa Malechela kilichompata
Nina kila haki ya kuwajuza Watanzania wenzangu na serikali.

Kumbuka kuwa habari kama hizi hazianzii serikalini huanzia kwa watu, na serikali yeyote duniani huanza kupokea taarifa kama hizi kwa watu binafsi.

Wewe kama unaona sina haki ya kukuhabarisha basi unaweza sepa kwenye huu uzi na ukasubiri taarifa za serikali. Upo hapo ulipo?

Ficha upumbavu wako, usifiche hekima zako - Invisible
 
Nina kila haki ya kuwajuza Watanzania wenzangu na serikali.

Kumbuka kuwa habari kama hizi hazianzii serikalini huanzia kwa watu, na serikali yeyote duniani huanza kupokea taarifa kama hizi kwa watu binafsi.

Wewe kama unaona sina hakinyankuwahabarisha basi unaweza swpa kwenye huu uzi na ukasubiri taarifa za serikali. Upo hapo ulipo?

Ficha upumbavu wako, usifiche hekima zako - Invisible
Hatuwezi kupokea taarifa ya mtu mwenye kutoa MATUSI kwa binadamu wenzake
 
Back
Top Bottom