raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 9,096
- 26,378
Ule ugonjwa ukiufikiria nguvu za kiume lazm ziisheBinafsi hamna singo ambayo nilikuwa naikubali kama ya HIV. Ile hata ungekuwa na hamu vp, lkn ukikumbuka jinsi ilivyomtandika baunsa akabaki kilo mbili. Hamu yote kwisha.