Jamani wana JF ninawaomba kuuliza hivi mbona uwanja wa ndege wa songwe Mbeya umekuwa ni kitendawili kisichoteguka? Haumaliziki kwa nini -wakandarasi hakuna? Hawautaki? Fedha hakuna? Ni kirusi gani hasa wajemeni ninaomba msaada wenu.