Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,032
Mkuu, mie nilikua niwepa njia za kuji protect na documentation nikawapa cha ajabu, baada ya mda nikakuta wameifanya ile kazi kwa kutumia report yangu na ushauri niliowapa, bila kunipa taarifa... Walinifanyia uhuni...Hizi ni habari nyeti zinazohusu usalama wa data za watu.
Utategemeaje uende sehemu tu na watu wakuruhusu kirahisi?