Kirusi Dukuzi Kimedhibitiwa Kusambaa ila Tatizo Halijaisha: Ushauri Jumatatu Makazini

Thanks, yani nlitaka nishare news za Malwaretech.,BBC walisema amesimamisha kusambaa huko by 'accident,ss sijui ndo nin manake
Ofisi zingine staff wengi wana laptops and move with them ss hili jangaa mweh,hopefully lisitukute
 
najaribu kufikiria kama ransomware akishambulia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, nadhani ni muda sasa wa kuajiri watu wenye weledi wa hali ya juu wa mambo ya cyberwar ili kuzuia mashambulio kama haya!! (si kwamba waliopo hawana weledi).
 
Mi mahisi hii ni michezo tu... Juzi tumesikia mtoto wa miaka 14 kagundua sijui nini cha instagramu akapewa dola 7000, leo tumesikia kijana wa miaka 22 amegundua antivirus ya ransom.. Nahisi hivi viti vinafanyika na team kubwa ila wanawatanguliza mbele hao watoto ili kuji propaganda kwamba watoto wao wanaakili sana. Nawaza hivi... mwisho wa siku hao waliotengeneza kirusi watakula ela kihahali (coz mwanzo walikua wanakula kiwizwiz kupitia bitcoins) coz ndo hao hao waliompa huyo dogo antivus.

Elimu yao na yetu ni tofauti,mtoto wa miaka 13 wa Uingereza ni tofauti na mtoto wa miaka 13 wa Tz. Elimu yetu na yao ni tofauti,sisi tukisoma tuajiriwe,wao wanasoma kile wanachopenda.
 
najaribu kufikiria kama ransomware akishambulia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, nadhani ni muda sasa wa kuajiri watu wenye weledi wa hali ya juu wa mambo ya cyberwar ili kuzuia mashambulio kama haya!! (si kwamba waliopo hawana weledi).
hui mfumo tunao ?
bado sana matumizi ya tehana. ni tasisi chache sana zenye mifumo ya kueleweka ya tehama.
 
Thanks, yani nlitaka nishare news za Malwaretech.,BBC walisema amesimamisha kusambaa huko by 'accident,ss sijui ndo nin manake
Ofisi zingine staff wengi wana laptops and move with them ss hili jangaa mweh,hopefully lisitukute
accident hiyo ndio kafanya huyo dogo wa 22yrs.
sometimes hivi vitu ni try and error so katika harakati za kujaribujaribu akafanikiwa.
 
Napenda kuuliza hiyo tahadhari haiwahusu jf?toka umeanza kutoa tahadhari jamii forum imekuwa sehem ya uwanja wako lakini hicho kirusi kinaonekana haijaattack mfumo wao.
 
Back
Top Bottom