saidi kindole
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 310
- 792
Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne.
Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu?
Propaganda dhaifu hata wanaompelekea inaelekea hawakwenda shule.