Kirusi cha Corona kwenye nguo kinaishi siku mbili

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
310
792
Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne.

Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu?

Propaganda dhaifu hata wanaompelekea inaelekea hawakwenda shule.
 
Hakuna anayekijua hicho kirusi, kaa ukielewa bado tafiti nyingi zinakizana ,vile vile kirusi kina tabia mbili kikiwa kwenye mwili kinakuwa hai, kikiwa nje kinacope mazingira kinakuwa si hai , kunauwezekano kikasafili Kama non living hata miaka 20 kikipata upenyo tayari kinabadilika na kuwa living organism kinapenya kwenye cell na kubadilisha DNA kuzalisha virus vya covid vya kutosha.

Rais anajua siri nyingi usiwe mpumbavu kiasi hicho.
 
Hakuna anayekijua hicho kirusi, kaa ukielewa bado tafiti nyingi zinakizana ,vile vile kirusi kina tabia mbili kikiwa kwenye mwili kinakuwa hai,
Mhh Kumbe ?
kikiwa nje kinacope mazingira kinakuwa si hai , kunauwezekano kikasafili Kama non living hata miaka 20 kikipata upenyo tayari kinabadilika na kuwa living organism kinapenya kwenye cell na kubadilisha DNA kuzalisha virus vya covid vya kutosha
Sasa Wewe mbona unaonekana kujua ila wengine ndio hawajui ? sasa kwanini Barakoa tu na wasiweke kwenye magari yanayokuja, mitumba na kila kitu ambacho tunaagiza
Rais anajua siri nyingi usiwe mpumbavu kiasi hicho
Si ulisema hakunaa anayejua? Kwahiyo yeye ndio anajua? Na sababu anajua hivyo tukubali kila anachosema?

Mkuu kama unaweza kujipinga mwenyewe kwenye paragraph moja mimi ni nani niweze kukupinga.
 
Usijifanye mjuaji wakati bado kiazi, kama unashida na mibarakoa hujakatazwa

Screenshot_20210222_025421.jpg

Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne.

Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu?

Propaganda dhaifu hata wanaompelekea inaelekea hawakwenda shule
Acha
 
Hakuna anayekijua hicho kirusi, kaa ukielewa bado tafiti nyingi zinakizana ,vile vile kirusi kina tabia mbili kikiwa kwenye mwili kinakuwa hai, kikiwa nje kinacope mazingira kinakuwa si hai , kunauwezekano kikasafili Kama non living hata miaka 20 kikipata upenyo tayari kinabadilika na kuwa living organism kinapenya kwenye cell na kubadilisha DNA kuzalisha virus vya covid vya kutosha
Rais anajua siri nyingi usiwe mpumbavu kiasi hicho
Wewe ndio mpumbavu wanasayansi wanatafiti ndio wanatafiti na kutoa jibu sio ngonjera zako na propaganda zaccm. Sisi tuna Nini hadimabeberu watubambikizie virusi. Neti, dawa za ukimwi wanatuletea kwa Nini wasiweke hivyo virusi humo. Pia tbs wanafanyakazi gani Kama sio kuzalilisha vyombo ulivyoviunda wewe mwenyewe
 
Mhh Kumbe ?

Sasa Wewe mbona unaone kana kujua ila wengine ndio hawajui ? sasa kwanini Barakoa tu na wasiweke kwenye magari yanayokuja, mitumba na kila kitu ambacho tunaagiza

Si ulisema hakunaa anayejua ?, kwahiyo yeye ndio anajua ? Na sababu anajua hivyo tukubali kila anachosema ?

Mkuu kama unaweza kujipinga mwenyewe kwenye paragraph moja mimi ni nani niweze kukupinga....
Hajajipinga, amesema hakuna anayekijua kirusi cha corona.

Binadamu wanamiguu miwili, mikono miwili, macho mawili, mm kufahamu hiyo imformation kuhusu binadamu haimaanishi kuwa namfahamu keysersoze hata kama yeye ni binadamu mwenye hizo sifa. Ili nimfahamu lazima nimchunguze au nipate nafasi ya kuishi nae muda mrefu.
 
Wewe ndio mpumbavu wanasayansi wanatafiti ndio wanatafiti na kutoa jibu sio ngonjera zako na propaganda zaccm. Sisi tuna Nini hadimabeberu watubambikizie virusi. Neti, dawa za ukimwi wanatuletea kwa Nini wasiweke hivyo virusi humo. Pia tbs wanafanyakazi gani Kama sio kuzalilisha vyombo ulivyoviunda wewe mwenyewe
Kwani Tunafahamu vp kuwa dawa za ukimwi neti n.k hazina manufaa kwa wanaozileta kuliko zilivyo na manufaa kwetu ss? Magonjwa mengi ya virus ukichunguza chanzo huwa na walakini. Raisi ana taasisi zinazompa information ya ni nn kinaendelea.

Kwani unadhani JPM akitoka akasema corona ipo, inatuumiza ila nchi haina uwezo wa kifedha kuwalinda wananchi wake, marafiki tunaomba tusaidiane, atapoteza nn? Kwann hasemi?

Sikia nikuambie mkuu, kiongozi wako anaweza kuwa hayupo sahihi kwenye mambo mengi sana ila wenzetu walioendelea pia si wa kuwaamini kwa kila kitu. Tunawategemea kwa mambo mengi sana na hiyo ni sababu kuu ya kutokuwaamini kwa kila jambo maana maisha yetu yapo mikononi mwao.

Usimdharau sana JPM
 
Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne.

Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu?

Propaganda dhaifu hata wanaompelekea inaelekea hawakwenda shule
Mwakindoole Kamwene.
 
Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne.

Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu?

Propaganda dhaifu hata wanaompelekea inaelekea hawakwenda shule.
Utafiti wa wanasayansi huko Austraria ulionyesha kuwa kinaishi siku 28, Rais wao akabishia kuwa si kweli, wanasayansi wakamuuliza Rais wao kwanini anabishia? Siku nyingi namna hiyo itaasababishia wananchi taharuki na hofu bora waendelee kusema siku 2 au 3 au 4
 
Wewe ndio mpumbavu wanasayansi wanatafiti ndio wanatafiti na kutoa jibu sio ngonjera zako na propaganda zaccm. Sisi tuna Nini hadimabeberu watubambikizie virusi. Neti, dawa za ukimwi wanatuletea kwa Nini wasiweke hivyo virusi humo. Pia tbs wanafanyakazi gani Kama sio kuzalilisha vyombo ulivyoviunda wewe mwenyewe
Swali la kipumbavu kabisa, hujui Nchi yako ina nn?
 
Hakuna anayekijua hicho kirusi, kaa ukielewa bado tafiti nyingi zinakizana ,vile vile kirusi kina tabia mbili kikiwa kwenye mwili kinakuwa hai, kikiwa nje kinacope mazingira kinakuwa si hai , kunauwezekano kikasafili Kama non living hata miaka 20 kikipata upenyo tayari kinabadilika na kuwa living organism kinapenya kwenye cell na kubadilisha DNA kuzalisha virus vya covid vya kutosha.

Rais anajua siri nyingi usiwe mpumbavu kiasi hicho.
Haa haa haa. sayansi nyingine bwana. Ndugu yangu ficha ujinga uepushe aibu. Katu usitgoe maelezo ya kisayansi ambayo hayana ukweli.
 
Akili za kushikiwa hizi.
Tumepewa akili kufikiri kwa kina. Tusiwe wavivu wa kufikiri.
Unajua athari ya madawa yanayotumika kwenye mazao na wanyama tunayotumia. Unajua kwa nini wenye uelewa wanatumia organic foods.?
Tuwe makini kwa kila kitu bila kujenga hofu
 
Back
Top Bottom