Kirusi cha Corona kinazidi kujongea EAC, tayari kimetua Cameroon

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Cameroon health officials Friday confirmed the first case of the novel coronavirus in the Central African country.

“The case was placed in solitary confinement in the Care Centre of the Yaounde Central Hospital for appropriate treatment,” Public Health Minister Manaouda Malachie said in a statement.

Malachie also reassured the public and said “all measures are being taken by the government to contain possible risks of the spread of the virus.”

It added that the case is a 58-year-old French citizen who arrived in the capital Yaounde on Feb. 24.

The health official urged the public to be “vigilant and respect hygiene rules.”

The World Health Organization (WHO) also confirmed the case in a tweet.

Cameroon is the fourth Sub-Saharan African country confirming a coronavirus case after Nigeria, Senegal and South Africa.

COVID-19 emerged in China’s central Wuhan city last December and has now spread to over 80 countries.

The global death toll is almost 3,300, with more than 95,200 confirmed cases, according to the WHO.

Notably, some 52,000 patients who contracted the virus recovered.

The WHO, which declared the outbreak an international health emergency, recently updated the global risk level to very high.

Source: Cameroon confirms first coronavirus case
 
mzee hata south africa, senegal, sahivi cameroon ni french citizens, au utakuta ni ngozi nyeupe sijaona popote black katangazwa anaumwa ukiacha yule dogo aliepona china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyosikia kirusi kimetua Misri nikajua tumekwisha.. Na nina uhakika next days to come tutakisikia Nairobi baada ya hapo itakuwa habari nyingine.
 
Hili janga ni hatari sn........ Sikumbuki gonjwa la mlipuko lililowahi kuenea kwa kasi ktk nchi nyingi km corona
 
Bado hakuna uhakika kama wa africa wanaupata maana cases zote ambazo zimekuwa reported kuhusu visa vya wagonjwa wa africa vimewalenga wageni,ngozi nyeusi waliokuwa nje na wanarudi africa,ila hadi sasa hakuna mwafrica aliyethibitishwa dunian kufa kwasababu ya corona...
 
Usishangae kuskia Corona huwa ipo huku ila kinga zetu huipiga chini, maana Mwafrika kabla aende kukaguliwa na daktari, ujue ameumwa sio mchezo, ila kwa wenzetu akiumwa na kichwa kidogo tu anakwenda kupigwa x-ray za kiajabu ajabu.
 
Tusubiri tuone mwisho wwke itakuaje,wazungu wakiona waafrica haiwapati wataona wivu,wanaweza tutumia corona nyingine..
Ikaitwa coroma
 
sijui kwanini?,
akili yangu inaniambia kuna nchi fulani east afrika, tayari imebaini mtu ambaye ana dalili za ugonjwa wa corona, ila "gavamenti" inaficha.
Usiogope maana 'mficha maradhi......'
 
Back
Top Bottom