#COVID19 Kirusi cha corona kimejibu mapigo dhidi ys chanjo: Kimejibadilisha na kutokea Super Corona Variant Nu!!

JPM atabakia hero dunia nzima kwa msimamo wake kuhusu corona.

Kama mataifa yaliyochanja raia wake karibia wote lakini bado yanatapatapa, maana yake chanjo haiwasaidii. Watu wamrudie Mungu ndio suluhisho la kweli.
Wajerumani wamesema wanaoambukizwa asilimia kubwa ni ambao hawajachanja lakini hata baadhi ya ambao wamechanjwa wamepatikana +ve.

Hiki kirusi kinaishangaza dunia hasa dunia ya ngozi nyeupe.
Hiki kirusi hakina ubavu sana kwa mwafrika aliyepo Afrika. Kinaua lakini siyo kama kinavyowaua wenzetu ngozi nyeupe.

Waingereza kwenye summer walijiachia wakidhani Vaccine imeishinda korona, kumbe korona alikuwa anasubiri baridi ianze ili aanzishe jambo lake.

Hivi sasa Ulaya imetaharuki.
 
Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri toka mataifa ya kusini mwa Afrika.
Hebu cheki wenyewe taarifa hii:
Growing list of countries with curbs over 'super-mutant' strain
26 Nov, 2021 10:22 / Updated 1 minute ago

Follow RT on
RT
'Super mutant' Covid variant has sparked a ban around the world on non-essential travel to South Africa and neighboring states, with Denmark, Morocco, the Philippines and Spain becoming the latest nations to impose restrictions.
Germany has declared South Africa a “virus variant area,” the country’s health minister Jens Spahn wrote on Twitter. It means “airlines will only be allowed to transport Germans" from the country.

All arrivals would be required to quarantine for 14 days, even if they are fully vaccinated against Covid-19 or have recovered, Spahn added.

The Dutch authorities made a similar move, announcing a ban on flights from South Africa to the Netherlands from midnight.

READ MORE
New B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK saysNew B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK says
This follows a call by the European Union on member states to consider “stopping air travel” from the southern African region over the new strain of the virus. Italy and Czech Republic were also quick to follow the advice from Brussels.

Rome has banned entry to all arrivals from South Africa, Lesotho, Botswana, Zimbabwe, Mozambique, Namibia and Eswatini. Prague has also said that non-nationals who recently visited South Africa won’t be allowed into Czechia.

Later in the day, France said that it was suspending flights from southern Africa for at least 48 hours, with Health Minister Olivier Veran announcing that all those who recently arrived from the region are going to be tested and monitored closely.

Meanwhile, French PM Jean Castex revealed that talks among EU leaders on how to respond to the new strain, which so far hasn’t been diagnosed on the continent, are going to take place “over the next hours”.

The World Health Organization (WHO) says the large number of mutations in the newly-discovered variant raises serious concerns over how it will impact diagnostics, therapeutics and vaccinations.

The UK also restricted air travel to and from South Africa and its neighbors, with the country’s Health Security Agency saying that “this is the worst variant we have seen so far.”

Countries beyond Europe have also been worried about the new variant, with Malaysia, Japan, Singapore and Bahrain imposing restrictions on travelers from the southern Africa region.

Israel also placed a ban on arrivals from southern Africa but then expanded that “red zone” to almost the whole continent, only excluding some north-African nations.

Kwa hali ilivyo, wakati mataifa ya afrika hayajaweza kuchanja hata asilimia 10 ya chanjo ya kwanza ambayo pia haisaidii chochote ameingia super variant!! Itabidi watu wakubali tu kumtanguliza Mungu ili kubaki salama.
Ajabu mpaka sasa sijasikia kauli ya serikali kuhusu ku restrict wasafiri wanaotoka South Africa na nchi jirani. Mpaka yatufike ndio tuchukue hatua?
 
JPM atabakia hero dunia nzima kwa msimamo wake kuhusu corona.

Kama mataifa yaliyochanja raia wake karibia wote lakini bado yanatapatapa, maana yake chanjo haiwasaidii. Watu wamrudie Mungu ndio suluhisho la kweli.
Ila we nawe lijinga sana atabakia kuwa hero wa kuzimu? wakati covid imesha mtanguliza kuzimu na u hero? wake hivi una akili kweli kumshabikia mtu aliye shindwa ?
 
Nafikiri pia kuna mambo kadhaa yanayoendelea chini ya kapeti kuhusu covid yanayosababisha tumaini pekee katika hili libaki kuwa Mungu.

1. Kwanza kabisa ukweli halisi hausemwi kuhusu uwezo wa kinga zinazopigiwa debe kupambana na corona. Na majamaa yalivyojipanga kuzipigia debe hizo chanjo wameamua hadi kuugawa ulimwengu katika kambi mbili: vaccinated and the unvaccinated, na kauli maalumu waliyoamua kuihubiri no matter what facts are ni vaccination, vaccination, vaccination.

2. Kama vaccinations zingekuwa zinafanya kazi tunavyoaminishwa Ulaya isingekuwa katika hali ngumu hivi. Wale jamaa wameshachanja sana kwa nini mambo hayabadiliki?

3. Kama kinga hizi ndiyo ungekuwa mwarobaini wa corona hali ya corona ingekuwa mbaya sana katika nchi za Afrika hususani Tanzania. Hapa kwetu waliochanja hwajafika hata asilimia moja ya raia.

4. Nafasi ya Mungu inakuja katika muktadha wa namna nchi zinazojijua ni maskini zinavyopaswa kuapproach issues ngumu kama hizi za corona. Kwa jinsi corona ilivyo hatari, na kama solution halisi ya corona ingekuwa ni kinga za akina Pfizer na Moderna na wenzao wengineo, basi hapa Tanzania tungekufa sana. Lakini Mungu yupo na tulibahatika toka mwanzo wa hii pandemic kuwa na kiongozi aliyetuongoza kulitazama hili jambo kwa macho ya kiroho zaidi. Tulimwomba Mungu na Mungu ametusaidia hadi sasa.
Hapa kuna picha linatengenezwa, kwa Africa bado kuna upingwaji mkubwa wa hizi chanjo, ndiyo maana hizi series za Covid zitaendelea kuibukia Africa.. usishangae toleo lijalo likaanzia Tanzania.
 
sijaelewa hii bado..... kwahiyo watu waache kila kitu wamrudie Mungu... kama ni hivyo basi vyote tunavyofanya tuache tumrudie Mungu, kila challenge mwanadamu akipata asifanye chochote amrudie Mungu...tulikuwa na malaria tusingetafuta dawa wala suluhu tungemrudia Mungu...hapana siamini kama mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi anayetaka tufanye kazi tupate kipato tuishi na kumuabudu anataka hivyo....

sidhani kama hiyo ndio maana ya maisha ya hapa duniani, sidhani kama mwenyezi Mungu alituleta hapa duniani tuje tuishi hivyo....

wewe mungu amekuumba uje duniani kufanya nini?
 
Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri toka mataifa ya kusini mwa Afrika.
Hebu cheki wenyewe taarifa hii:
Growing list of countries with curbs over 'super-mutant' strain
26 Nov, 2021 10:22 / Updated 1 minute ago
Growing list of countries with curbs over 'super-mutant' strain

Follow RT on
RT
'Super mutant' Covid variant has sparked a ban around the world on non-essential travel to South Africa and neighboring states, with Denmark, Morocco, the Philippines and Spain becoming the latest nations to impose restrictions.
Germany has declared South Africa a “virus variant area,” the country’s health minister Jens Spahn wrote on Twitter. It means “airlines will only be allowed to transport Germans" from the country.

All arrivals would be required to quarantine for 14 days, even if they are fully vaccinated against Covid-19 or have recovered, Spahn added.

The Dutch authorities made a similar move, announcing a ban on flights from South Africa to the Netherlands from midnight.

READ MORE
New B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK saysNew B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK says
This follows a call by the European Union on member states to consider “stopping air travel” from the southern African region over the new strain of the virus. Italy and Czech Republic were also quick to follow the advice from Brussels.

Rome has banned entry to all arrivals from South Africa, Lesotho, Botswana, Zimbabwe, Mozambique, Namibia and Eswatini. Prague has also said that non-nationals who recently visited South Africa won’t be allowed into Czechia.

Later in the day, France said that it was suspending flights from southern Africa for at least 48 hours, with Health Minister Olivier Veran announcing that all those who recently arrived from the region are going to be tested and monitored closely.

Meanwhile, French PM Jean Castex revealed that talks among EU leaders on how to respond to the new strain, which so far hasn’t been diagnosed on the continent, are going to take place “over the next hours”.

The World Health Organization (WHO) says the large number of mutations in the newly-discovered variant raises serious concerns over how it will impact diagnostics, therapeutics and vaccinations.

The UK also restricted air travel to and from South Africa and its neighbors, with the country’s Health Security Agency saying that “this is the worst variant we have seen so far.”

Countries beyond Europe have also been worried about the new variant, with Malaysia, Japan, Singapore and Bahrain imposing restrictions on travelers from the southern Africa region.

Israel also placed a ban on arrivals from southern Africa but then expanded that “red zone” to almost the whole continent, only excluding some north-African nations.

Kwa hali ilivyo, wakati mataifa ya afrika hayajaweza kuchanja hata asilimia 10 ya chanjo ya kwanza ambayo pia haisaidii chochote ameingia super variant!! Itabidi watu wakubali tu kumtanguliza Mungu ili kubaki salama.
Tushachoka sasa
 
Ukweli mchungu Ni kwamba kuna mazombie yanadhani dunia tuliyonayo inaenda naturally. HELL NO!

Kila tunachokiona nyuma yake Kuna wanaume wanaolenga ku achieve Jambo fulani

Tusidhani wale jamaa wa NASA wakienda kule anga za mbali wanaenda kuota jua na kurudi!

Macho haya ya nyama yanaona vitu vichache tu......

Asante Mungu umetupa akili japo Kila mmoja anaitumia kwa risk yake mwenyewe
 
Tatizo ukisoma sana pia ukaribu na Mungu unapotea.

Ni lazima kujua ni nyakati gani tulilzo sasa, we are in the end times, shetan nae kwa kujua kuwa muda umeisha anatafuta njia mbalimbali za kukusanya watu, ikiwemo via COVID-19.

I beseech u, do not take COVID 19 vaccine.

Tumrudie Mungu yepekee ndio hashindwi
 
Hatua kwa hatua maana Mdudu wa corona ni virus na sio bacteria,virus wana tabia ya kubadilika sana ndio maana unaona ata chanjo ya HIV/AIDS bado ni changamoto.

Na lazima iwe pia biashara au sehemu ya kupata faida,kwani unafikiri hawatumii gharama kuzalisha?

THINK BIGGER!

He thinks smaller than an electron.
 
Ukweli mchungu Ni kwamba kuna mazombie yanadhani dunia tuliyonayo inaenda naturally. HELL NO!

Kila tunachokiona nyuma yake Kuna wanaume wanaolenga ku achieve Jambo fulani

Tusidhani wale jamaa wa NASA wakienda kule anga za mbali wanaenda kuota jua na kurudi!

Macho haya ya nyama yanaona vitu vichache tu......

Asante Mungu umetupa akili japo Kila mmoja anaitumia kwa risk yake mwenyewe
Matapeli wa corona watakupinga huku wanafoka na kurusha mate.

Corona ni utapeli mtupu!! Dunia imevaa sketi hii.

Ajenda nyuma ya corona lazima itakuwa ni ajenda ovu mno na tishio dhidi ya mustakabali wa binadamu — Genetically or spiritually.

Maana sielewi serikali za dunia zimewezaje kueneza ulaghai wa corona kiasi hiki? Kwa ajili ya kitu gani? Tena kwa makusudi!!?

Dunia yetu inaelekea ukingoni. Something is going to happen.
 
Ujinga tu unakusumbua kwa kusifia vilivyooza kwa sifa za kijinga.

Huyo Magu wako alimrudia Mungu kwa alichomfanyia Lissu na Ben Saa8?

Kwani uliambiwa chanjo inadhibiti asilimia 100?

Sayansi haijawahi kufeli,Mungu alishatoa suluhu kupitia sayansi,punguza uzwaza!
Ujuaji mwingi mbele giza, mbona hao wanasayansi wako hawajagundua hadi leo hii chanzo cha uwepo wa viumbe vyote hai ni nini?

Mbona hawajajua kinga dhidi ya kifo na baada ya kifo roho za viumbe hai zinarudi wapi?
 
Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri toka mataifa ya kusini mwa Afrika.
Hebu cheki wenyewe taarifa hii:
Growing list of countries with curbs over 'super-mutant' strain
26 Nov, 2021 10:22 / Updated 1 minute ago
Growing list of countries with curbs over 'super-mutant' strain

Follow RT on
RT
'Super mutant' Covid variant has sparked a ban around the world on non-essential travel to South Africa and neighboring states, with Denmark, Morocco, the Philippines and Spain becoming the latest nations to impose restrictions.
Germany has declared South Africa a “virus variant area,” the country’s health minister Jens Spahn wrote on Twitter. It means “airlines will only be allowed to transport Germans" from the country.

All arrivals would be required to quarantine for 14 days, even if they are fully vaccinated against Covid-19 or have recovered, Spahn added.

The Dutch authorities made a similar move, announcing a ban on flights from South Africa to the Netherlands from midnight.

READ MORE
New B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK saysNew B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK says
This follows a call by the European Union on member states to consider “stopping air travel” from the southern African region over the new strain of the virus. Italy and Czech Republic were also quick to follow the advice from Brussels.

Rome has banned entry to all arrivals from South Africa, Lesotho, Botswana, Zimbabwe, Mozambique, Namibia and Eswatini. Prague has also said that non-nationals who recently visited South Africa won’t be allowed into Czechia.

Later in the day, France said that it was suspending flights from southern Africa for at least 48 hours, with Health Minister Olivier Veran announcing that all those who recently arrived from the region are going to be tested and monitored closely.

Meanwhile, French PM Jean Castex revealed that talks among EU leaders on how to respond to the new strain, which so far hasn’t been diagnosed on the continent, are going to take place “over the next hours”.

The World Health Organization (WHO) says the large number of mutations in the newly-discovered variant raises serious concerns over how it will impact diagnostics, therapeutics and vaccinations.

The UK also restricted air travel to and from South Africa and its neighbors, with the country’s Health Security Agency saying that “this is the worst variant we have seen so far.”

Countries beyond Europe have also been worried about the new variant, with Malaysia, Japan, Singapore and Bahrain imposing restrictions on travelers from the southern Africa region.

Israel also placed a ban on arrivals from southern Africa but then expanded that “red zone” to almost the whole continent, only excluding some north-African nations.

Kwa hali ilivyo, wakati mataifa ya afrika hayajaweza kuchanja hata asilimia 10 ya chanjo ya kwanza ambayo pia haisaidii chochote ameingia super variant!! Itabidi watu wakubali tu kumtanguliza Mungu ili kubaki salama.
Kwani Mjambiani anasemaje???
 
Back
Top Bottom