Kiroho, kama humsaliti mke wako yeye pia hawezi kukusaliti

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,602
Hii nakupa chukua..

Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua.

Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya uzinzi kwenye nyumba.

Na unajua haya mambo ya kiroho yalivyo, energy ya uzinzi ukishaichukua ni rahisi sana kumpa mwenzi wako. Ni kama spirit fulani hivi.

Chunguza pia mtu aliyeolewa na mchawi au aliyeoa mchawi at the end of the day lazima na wewe utaambukizwa nguvu za kichawi just by kulala na yule mtu.

Ni kama ukute mume ni mlevi wa pombe, haitachujua muda mke na yeye lazima awe mlevi. Maana ile roho ya ulevi ya mumewe ni rahisi ku i transfer kwa mkewe.

Kwaiyo mwisho wa siku hii issue ya Masanja naamini ni reflector kwamba na yeye sio msafi kwenye hiyo idara. Ni kwamba tu hajafumwa hadharani.

Naacha hii mada kama working paper. Ningependa ROBERT HERIEL na Mshana Jr waidadavue zaidi...
 
Napinga hoja yako kwa upande wa unywaji wa pombe, ila kwenye uzinzi upingaji wake ni ngumu kidogo, ipo hivi nimeishi na Bibi na Babu toka utoto, Babu yangu alikuwa cha pombe balaa hachagui hadi mauti yamemkuta Babu alikuwa anakunywa pombe lakini hadi leo Bibi yangu hanywi pombe toka nimezaliwa nimejitambua hadi leo sijawahi muona Bibi yangu akinywa pombe
 
Masanja huyo mke wake kabla hawajaoana si ndo mwamba alikuwa Anatoka nae na alipoolewa yakaishia hapo mapenzi yy anafufua vitu havipo ameshindwa ku move one mtu ashaolewa. Sio kwamba kachepuka No ndo nlivo elewa. Naomba kusahihishwa
 
Kwenye pombe..hapo big NO ..HATA KWENYE UZINZI SINA UHAKIKA ME MKE WANGU KANIFUMANIA MARA MBILI ILA NINAUHAKIKA HAJAWAHI KUNICHIT ILA ASHANITISHIA KWAMBA KWA KUWA NIMEMWAGA UGALI YEYE ATAMWAGA MBOGA..HAPA NABEMBELEZA KILA SIKU SIJUI ATASAHAU HILI FUMANIZI LIVE MOJA LINGINE NIMEKUTWA NA CONDOM MOJA MEANS MBILI NIMEZITUMIA KWA MWINGINE
 
Hii nakupa chukua..

Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati... hii pia nakupa chukua.

Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya uzinzi kwenye nyumba.

Na unajua haya mambo ya kiroho yalivo, energy ya uzinzi ukishaichukua ni rahisi sana kumpa mwenzi wako. Ni kama spirit fulani hivi.

Chunguza pia mtu aliyeolewa na mchawi au aliyeoa mchawi at the end of the day lazima na wewe utaambukizwa nguvu za kichawi just kulala na yule mtu.

Ni kama ukute mume ni mlevi wa pombe, haitachujua muda mke na yeye lazima awe mlevi.. maana ile roho ya ulevi ya mumewe ni rahisi ku i transfer kwa mkewe..

Ko mwisho wa siku hii issue ya Masanja naamini ni reflector kwamba na yeye sio msafi kwenye hiyo idara.. Ni kwamba tu hajafumwa hadharani.

Naacha hii mada kama working paper.. Ningependa ROBERT HERIEL na Mshana Jr waidadavue zaidi...
Amen to that

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Hii ktu siyo kweli bana, sema Kuna nguvu ya kujua, iwapo mtu atajua kua mwenzie amesaliti anaweza kufanya kisasi lakini swala la kiroho hapa eti ukafanye uzinzi na mwenzio asikie kufanya uzinzi na mtu mwingine, hapa umedanganya ndugu

Uongo uongo
 
Na ndo maana tunatakiwa tuwe wacha Mungu. Panapokuwa na mbegu ya Imani iwe kwa mme au kwa mke lazima Mungu atasimama.

Tatizo tunaishi maisha ya kuigiza sana. Imani zetu za mchongo. Nionekane naenda kanisani..nibebe biblia ionekane. Usiku nisali kwa nguvu. Nikifunga nitangaze..sadaka nitoe huku najipiga selfie au nachukua video. Yani tunaishi wokovu wa mchongo sana. Biblia zina vumbi..mas haf zina vumbi. Miswala imewekwa kabatini.

Nilishasema na narudia. Mwanamke ukiolewa na husali wala kuswali anza mapema kutafuta kitanzi. Naongelea kushika imani haswa sio maigizo ya mtandao. Kisa umeenda kanisani jumapili basi whatsapp tunakukoma. Au kuandika verses of the bible huku hauziishi..hahaa Mungu hadhihakiwi.

Au wewe ijumaa unajipostisha na shungi ijumaa kareem. Aisee ndoa bila Mungu jameni hamna kitu. Najua wengi mnajua hili ila mnachagua kukaidi. Wengi huwa mnachagua the interesting part of the bible kuwa mwanamke amtii mume.. lakini em niwapeleke kwenye mwanzo. Mungu akamuumba Adam afu akampa usingizi mzito ndo kumuumba Hawa alafu akamleta kwa Adamu. Mwa2:22.

Kwaiyo ili wewe ukutane na mwanamke anaekufaa lazima Mungu amuumbe na ili wewe ukutane na mume lazima Mungu akupeleke kwake. So to meet your Adam know God first. To meet your Eve know God first. Hio ni kanuni na msingi mkuu wa ndoa. Sasa basi....mwanaume aenda chepuka kalala na mwanamke mwenye roho ya jezebel..anakuja mke husali, hufungi unajidanganya am under Grace, au only God can judge me huku kusali husali...unategemea nini. Lazima roho ikuvae. Utaacha sasa kuwa mzinzi??? Wengi huwa wanajidanganya ooh anacheat na mimi nacheat..kumbe kuna jipepo lishakuja zamaniii limeletwa na mwenye kuyaleta.
 
Hii nakupa chukua..

Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati... hii pia nakupa chukua.

Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya uzinzi kwenye nyumba.

Na unajua haya mambo ya kiroho yalivo, energy ya uzinzi ukishaichukua ni rahisi sana kumpa mwenzi wako. Ni kama spirit fulani hivi.

Chunguza pia mtu aliyeolewa na mchawi au aliyeoa mchawi at the end of the day lazima na wewe utaambukizwa nguvu za kichawi just kulala na yule mtu.

Ni kama ukute mume ni mlevi wa pombe, haitachujua muda mke na yeye lazima awe mlevi.. maana ile roho ya ulevi ya mumewe ni rahisi ku i transfer kwa mkewe..

Ko mwisho wa siku hii issue ya Masanja naamini ni reflector kwamba na yeye sio msafi kwenye hiyo idara.. Ni kwamba tu hajafumwa hadharani.

Naacha hii mada kama working paper.. Ningependa ROBERT HERIEL na Mshana Jr waidadavue zaidi...
Baki kwenye yale mambo yako ya uchumi. Huku unapotea. Hakuna uthibitisho wa uliyoyasema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom