Kiravu anajibu maswali ya waandishi wa habari kwa jazba


Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Messages
2,968
Likes
373
Points
180

Magobe T

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2008
2,968 373 180
Leo jioni, mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Rajabu Kiravu aliulizwa maswali na waandishi wa habari na badala ya kujibu maswali vizuri, alionekana kama anajibu kwa jazba. Moja ya maswali aliyoulizwa ni kuhusu kwa nini wananchi wanaamua kwenda kulala vituoni kulinda kura zao? Yeye badala ya kuona kuwa wanaogopa kura kuchakachuliwa akajibu kuwa wanatumiwa.

Kwa hali ya rushwa ilivyo hapa nchini nani ataamini kuwa upigaji kura na uhesabuji wake ni wa haki? Tupige vita rushwa na mamabo yafanyike kwa uwazi zaidi ili kupunguza matatizo yasiyo ya lazima.
 

Forum statistics

Threads 1,204,195
Members 457,149
Posts 28,145,811