Elections 2010 Kiravu anajibu maswali kama nani?

kishoreda

Senior Member
Nov 2, 2010
174
29
Hapo mm sielewi jamani mbona kiravu anajibu maswali kama kada wa ccm sio mkurugenzi wa NEC?:sad:
 
Anasema Tume ni ya CCM kwa hiyo kesho wakitawala wengine itakua ya hao wengine. Nashindwa kumwelewa kabisa. Itakuwaje mwananchi wa kawaida ndio akatoe pingamizi baada ya Tume kumwandikisha asiye na haki ya kupiga kura? Sasa wajibu wa tume hapa nini? Kuandikisha tuu wapigakura bila hata kuangalia kama anayo haki ya kupiga kura. Jamaa anaongea kibabe sasa. Halafu anacheka mwenyewe. The simple fact ni kwamba watu na wapiga kura hawana imani na tume.
 
] haujaelewa kipi hasa..!! Ulitegemea mkurugenzi wa uchafuzi asiwe kada wa ccm??
 
Hapo mm sielewi jamani mbona kiravu anajibu maswali kama kada wa ccm sio mkurugenzi wa NEC?:sad:
Alivyokuwa akijibu utafikiri ni mpiga kampeni wa CCM, kwanza karibu majibu yake yote amejibu kwa kiburi, dharau na hasira hakuongozwa na busara. Amejibu kama anakemea kitu ambacho kinaonyesha ni kulewa kwa madaraka mfano aliposema wanaokesha kulinda kura ni wahuni waliokuwa wamekunywa gongo si maneno ya burasa hayo.
 
TBC wanajifanya kusoma text zinazo sisitiza amani, hawajui kama amani tanzania ipo, mi nilitaka wasome na zile walizo tumiwa za kutokuwa na imani na tume ya uchaguzi, wafanyakazi wa tbc nao wamechakachulia na chama cha mafisadi, sijui watakuja kuwa hadithia nini watoto wao bdae....
 
Majibu ya Kiravu yanaonesha dhahiri kuwa kweli hatuna tume Tz. Hajui hata maana ya tume kuwa huru au kutokuwa huru! Mbona anajibu kama mtu asiyekwenda shule kabisa? Ushahidi wa kuibwa kura upo kihistoria, wagombea wameshawahi kulalamika mahakamani na wakashinda, na ushindi ukatenguliwa na mahakama (ubunge), kama wizi umeweza kufanyika katika ngazi ya ubunge ni dhahiri kuwa inaweza pia kufanyika kwa ngazi ya uraisi. Lakini pia watu wamekamatwa wakiwa na vifaa vya uchaguzi vikiwemo karatasi za kura, mihuri na hata mabox ya kura zilizokwisha kupigiwa mgombea mmojawapo, na hayo yakaripotiwa polisi. Anasemaje kura haziwezi kuibiwa? Hatuna tume Tz
 
Kwa kweli kiongozi wa ngazi ya juu kama yeye anatakiwa ajibu maswali kwa busara hata kama hukubaliani na alichoulizwa. Nini sasa mathumuni ya kuitisha mkutano na waandishi wa habari? Yaani pale alikuwa anawakaripia waliouliza maswali. Hana hamna communications skills kabisa. The fact kuwa Makame alikuwa jaji mzuri does not make him kiongozi mzuri wa tume. Ameshidwa hata kutumia common sense.

Badala yake anamake assumptions tena nyingine za kitoto kabisa. Eti kama tume ni ya ccm basi itakuwa hivyo kama chama kingine kikija madarakani. Hii ni assumption ya kitoto kwa vile hajui hoja ya watu wanaosema kuwa tume sio huru. Angalia kwa mfano tume ya uchaguzi ya Uingereza. Ni tume huru iliyowekwa na bunge.
 
HII habari.com nimeiona na imenitia kinyaa hawa watoto wa mafisadi wanakula raha ya uchaguzi poolside huh! plippin heck!hizi pesa za wadanganyika zinaliwa haswa!
 
Back
Top Bottom