Alivyokuwa akijibu utafikiri ni mpiga kampeni wa CCM, kwanza karibu majibu yake yote amejibu kwa kiburi, dharau na hasira hakuongozwa na busara. Amejibu kama anakemea kitu ambacho kinaonyesha ni kulewa kwa madaraka mfano aliposema wanaokesha kulinda kura ni wahuni waliokuwa wamekunywa gongo si maneno ya burasa hayo.Hapo mm sielewi jamani mbona kiravu anajibu maswali kama kada wa ccm sio mkurugenzi wa NEC?:sad:
Mkuu thanx man! you have made me day!!:smile:
Mkuu thanx man! you have made me day!!:smile: