Kiranja wa Bunge la Marekani Steve Scalise apigwa risasi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,472
2,000
800.jpeg

Kiranja wa walio wengi katika Bunge la Congress nchini Marekani Steve Scalise, amepigwa risasi na kujeruhiwa alipokuwa akihudhuria mazoezi ya mchezo wa baseball miongoni mwa wabunge.

Yamkini watu wawili wamejeruhiwa, katika kile mashuhuda wanasema kuwa kisa cha umiminunaji wa risasi katika jimbo la Virginia mapema leo Jumatano.

Seneta wa Republican, Rand Paul, anasema kuwa alisikia mlio wa risasi ya kwanza, kisha ikafuatiwa na milio ya risasi.

Walinda usalama walijibu mashambulio hayo. Bwana Scalise ambaye ni mwanachama wa chama cha Republican, anasemekana alipigwa risasi kwenye makalio, huku ikisemekana kuwa afya yake haimo hatarini kwani amefikishwa hospitalini kwa matibabu pamoja na walinzi wake ambao pia walijeruhiwa na mshambuliaji.

Idara ya Polisi huko Virginia, inasema kuwa imemtia mbaroni mshambuliaji.

Rais Donald Trump amesema kuwa: "Tumetamaushwa mno na janga hilo."

Katibu wa mawasiliano wa Ikulu ya White House , Sean Spicerameandika katika mtandao wa kijamii wa tweeter kuwa Rais Donald Trump anajulishwa kuhusiana na shambulio hilo.
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,380
2,000
Mbona jina la mshambuliaje halijawekwa wazi? Nini chanzo cha shambulio hilo?

Ukitaka kujua kichwa cha Trump kinafanya kazi, huwa mara zote yakitokea matukio makubwa kama hili hubakia mtulivu sana.

Wangelikuwa wale wengine wa dizaini aka. wala rambirambi, ungesikia matusi kwa vyama vya upinzani na kebehi. Vita vyote vingeelekezwa kwa viongozi wa upinzani hata pole wasiende kutoa!. WAovu wasio haki, hukimbia ovyo hata wasipofukuzwa.

Pole kwa majeruhi, hongera Trump! Unaona mbali sana!
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,380
2,000
Na huku kwetu ingekuwa hivi, watu tungekuwa na adabu
Ungeona kimya kama ingelikuwa ni upande wa upinzani, kanakwamba wapinzani si wamarekani.

WApambe wa watawala ndiyo wangechukua maagizo ya juu, hakuna vyama pinzani kutoa pole!

Tena ungesikia vile vidagaa mitandaoni vinasema "Acheze kwa kufuata sheria".. Ha hahahah, kweli dunia ina mambo!.

Kama engellikuwa kwenye duara za kijani, bila shaka ungesikia vitisho, usingiziwaji na kila aina ya fabrications ili kuonyesha aliyefanya hivo ni yule mpinzani ha lisi!.

Dunia ina mabaka mabaka yenye rangi tofauti sana!!
 
Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,506
2,000
"The team of Republican congressman and staff members were practicing for a charity baseball game scheduled for later this week against a Democratic team."

Mh!..wondering if the shooter is a Democrat..
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,266
2,000

Kiranja wa walio wengi katika Bunge la Congress nchini Marekani Steve Scalise, amepigwa risasi na kujeruhiwa alipokuwa akihudhuria mazoezi ya mchezo wa baseball miongoni mwa wabunge.

Yamkini watu wawili wamejeruhiwa, katika kile mashuhuda wanasema kuwa kisa cha umiminunaji wa risasi katika jimbo la Virginia mapema leo Jumatano.

Seneta wa Republican, Rand Paul, anasema kuwa alisikia mlio wa risasi ya kwanza, kisha ikafuatiwa na milio ya risasi.

Walinda usalama walijibu mashambulio hayo. Bwana Scalise ambaye ni mwanachama wa chama cha Republican, anasemekana alipigwa risasi kwenye makalio, huku ikisemekana kuwa afya yake haimo hatarini kwani amefikishwa hospitalini kwa matibabu pamoja na walinzi wake ambao pia walijeruhiwa na mshambuliaji.

Idara ya Polisi huko Virginia, inasema kuwa imemtia mbaroni mshambuliaji.

Rais Donald Trump amesema kuwa: "Tumetamaushwa mno na janga hilo."

Katibu wa mawasiliano wa Ikulu ya White House , Sean Spicerameandika katika mtandao wa kijamii wa tweeter kuwa Rais Donald Trump anajulishwa kuhusiana na shambulio hilo.

Obama ameapa kumaliza Trump na kazi ndiyo imeanza sasa, baada ya kumuaa Gadafi Damu imemjaa mikononi yeye na mpinga Kristo Clinton!

If you state that America's government is illegitimate then by definition you're legitimizing political violence.

If you equate America's President with Hitler then you're clearly implying that killing him would be legitimate.

If you accuse the US President of being a Russian Spy then you're accusing them of treason which is a capital crime; you're directly calling for their arrest and execution.

The hateful rhetoric that inspired this shooting needs to end immediately for the sake of all Americans. If leftists wish to continue inspiring and escalating violence then I don't think they'll like how it will end.

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,978
2,000
Mbona jina la mshambuliaje halijawekwa wazi? Nini chanzo cha shambulio hilo?

Ukitaka kujua kichwa cha Trump kinafanya kazi, huwa mara zote yakitokea matukio makubwa kama hili hubakia mtulivu sana.

Wangelikuwa wale wengine wa dizaini aka. wala rambirambi, ungesikia matusi kwa vyama vya upinzani na kebehi. Vita vyote vingeelekezwa kwa viongozi wa upinzani hata pole wasiende kutoa!. WAovu wasio haki, hukimbia ovyo hata wasipofukuzwa.

Pole kwa majeruhi, hongera Trump! Unaona mbali sana!
Punguza chuki mkuu utafumuliwa marinda shaul yako

Siku ukitembelewa na noah nyeus usilaumu

Kitu kingine chuki sio nzur kwa mtoto wa kiume utaliwa uloda
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,380
2,000
Punguza chuki mkuu utafumuliwa marinda shaul yako

Siku ukitembelewa na noah nyeus usilaumu

Kitu kingine chuki sio nzur kwa mtoto wa kiume utaliwa uloda
Chuki iko wapi na ni chuki kwa nani uliyoiona?
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
5,730
2,000
Obama ameapa kumaliza Trump na kazi ndiyo imeanza sasa, baada ya kumuaa Gadafi Damu imemjaa mikononi yeye na mpinga Kristo Clinton!

If you state that America's government is illegitimate then by definition you're legitimizing political violence.

If you equate America's President with Hitler then you're clearly implying that killing him would be legitimate.

If you accuse the US President of being a Russian Spy then you're accusing them of treason which is a capital crime; you're directly calling for their arrest and execution.

The hateful rhetoric that inspired this shooting needs to end immediately for the sake of all Americans. If leftists wish to continue inspiring and escalating violence then I don't think they'll like how it will end.

WHEN BUKU SABA GOES INTERNATIONAL.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom