Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga anasema mungu hayupo sijui kamtafutia wapi mpaka kamkosa duniani hapa na hata nje ya dunia.??

Napitia comment zake kwenye nyuzi mbalimbali lakini hajatoa maelezo ya kusema kamtafuta wapi kapita njia zipi kumtafuta mungu mpaka kamkosa na kusema mungu hayupo.
 
Sehemu kubwa ya vitabu vya dini mfano Biblia imeandikwa historia ya maisha ya watu wa kale..vitabu vilivyomo havijatoa taswira ya moja kwa moja jinsi Mungu alivyo kwa muonekano,vinaonesha Mungu anapaswa kuabudiwa pia vinaelezea kanuni za kuishi kwa mwongozo wake..non believers kwa muda mrefu wanahangaika kutaka kuthibitisha uwepo wa MUNGU kitu cha ajabu nastaajabu sijawahi kusikia wakihangaika kutafuta uwepo wa SHETANI kama wanavyotaka kuhalalisha kwamba MUNGU hayupo.
Doctrine wanazotumia zinawaangamiza watu wasio na upeo..wanataka watendewe mujiza na MUNGU wakati wao wanamuunga SHETANI mkono..yawapasa wamuombe muujiza SHETANI au watubu kwa MUNGU ili awasamehe na kuwafungulia njia zao
 
nimepata cha kuandika....!!!!
 
1) Wanaoamini uwepo wa Mungu na kumuamini pia wanaamini uwepo wa shetani
2)Wanaopinga uwepo wa Mungu inamana hawaamini uwepo wa shetani
.....
 
Kwa upande wangu sijapata kukutana na maandiko mengi yanayogusia kuwa shetani hayupo,ukilinganisha na bidii za watu zilivyolenga kuonesha kuwa Mungu hayupo.
Inahitajika pia kuonesha kama shetani naye hayupo kwa kutoa vielelezo.
Mimi binafsi nasadiki ni rahisi kujua shetani yupo kuliko kuhangaika kuthibitisha uwepo Mungu..asilimia kubwa ya watu wameamua kukubali Mungu yupo baada ya kusikia/kuziona nguvu za shetani.
 
In short Mungu kuwepo au kutukuwepo sio tatizo... bali tatizo linakuja kwenye matendo yanayofanywa na watu eti yanayodaiwa kwamba ni maagizo ya Mungu....

Kitu kingine ni kwanin majority ya wanaoamini Mungu huwa wanafuata dini za wazazi wao?... na maelezo ya dini hizo yanatofautiana kwa asilimia kubwa.

Ukitafakari vizuri utabaini kwamba vizazi fulani katika ukoo wako waliishi bila ya kumfuata Yesu, wala Muhammad..... (dini tunazoaminishwa kwamba ni za kweli) ijapokuwa dini zilishakuwepo kwenye baadhi ya maeneo.... Kama hili suala ni la lazima (muhimu) ni kwanin lina inconsistency?... ni kwanin kwenye generation yetu liwe ni la muhimu lakini halikuwa muhimu kwa generetions kadhaa zilizopita chukulia miaka ya 1600s....
 
Dini ni njia iliyobuniwa na mwanadamu kwa nia ya kumtafuta Mungu lakini iliyokosa mafanikio
 
Taratibu unaanza kumuelewa kiranga,

Unaposema ni njia iliyobuniwa na mwanadamu kumtafuta mungu, lakini iliyokosa mafanikio, maana yake hata wewe huridhishwi na dini,

OK let's go ...
 
In short Mungu kuwepo au kutukuwepo sio tatizo... bali tatizo linakuja kwenye matendo yanayofanywa na watu eti yanayodaiwa kwamba ni maagizo ya Mungu....

Kitu kingine ni kwanin majority ya wanaoamini Mungu huwa wanafuata dini za wazazi wao?... na maelezo ya dini hizo yanatofautiana kwa asilimia kubwa.

Ukitafakari vizuri utabaini kwamba vizazi fulani katika ukoo wako waliishi bila ya kumfuata Yesu, wala Muhammad..... (dini tunazoaminishwa kwamba ni za kweli) ijapokuwa dini zilishakuwepo kwenye baadhi ya maeneo.... Kama hili suala ni la lazima (muhimu) ni kwanin lina inconsistency?... ni kwanin kwenye generation yetu liwe ni la muhimu lakini halikuwa muhimu kwa generetions kadhaa zilizopita chukulia miaka ya 1600s....
Uwepo wa dini mbali mbali, mfano uislamu ma ukristo na kila dini ikiamini kuwa yenyewe ndio ya kweli, ni uthibitisho kuwa dini ni project za watu za kutawala wajinga na kujikusanyia mabilioni ya pesa
 
94 Reactions
Reply
Back
Top Bottom