maxime
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 2,231
- 1,308
Chakula ambacho haujakionja ukisema unaamini chakula hicho kitakuwa kitamu... (hapo unakuwa uko sahihi kabisa, kwasabau hauna uhakika).Imani kwa Kiswahili ni neno lenye maana mbalimbali lakini ile kuu inahusiana na kitenzi kuamini, kinachofanana na kusadiki. Hapo ni kukubali ukweli wa jambo lisiloweza kuthibitishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ukishakionja tu.... haupaswi kusema unaamini, unatakiwa useme chakula ni kitamu au chakula si kitamu. (ukitumia dhana ya kuamini hapo hata waumini wenzako watakushangaa)
Sent using Jamii Forums mobile app