Kipupwe

talaka tena ? mbona lengo ni kuwa na wanne ?

kila siku kaka unanifuata unadai ya kwamba unanitaka, eti unanipenda unaniwaza, hulali bila mimi kuniota, pesa unaleta sijakuomba, naishi home kwetu bila shida...

Sasa unanishangaza wewe unamke sasa sijui nini kwangu unataka,

na anavyo kupenda nimesha sikia anadai ukimwacha ata data......

Kama ni penziii labda utapata ukimwachaa, Ooh babe chochote utapata unachokitakaa

............. Naimba tu jamani................
 
oops!!! kume wimbo ......!!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom