Kipupwe

Tunga sentensi kwa kutumia neno "kipupwe" ni maalumu kwa ajili ya hali ya hewa ya mwezi huu!

naanza: ninapenda sana vitu vya moto wakati huu wa "kipupwe"

Napenda kulala wawiliwawili kipindi cha kipupwe
 
Na wewe utakuwa umefaidi yile mgeni wa jamvi. Arushaone atakuwa. Ameshaoa kama kumi kipupwe hiki.

mamndenyi, mi bado sijaonjeka ndio maana unaona kila siku wananifata na kunidanganyia ndoa ingekuwa hivyo akina slave na wenzie wangesha ni dampo sikunyingii, nataka ndoa imara ndio maana unaona ka mchezo ka multiple choice hapa
 
Ndoa yangu imekufa wakati wa kipupwe. Mr. Rocky kasema sina joto. La kutosha.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom