Kipupwe hiki kulala alone ni noma.
Nataka wa kunioa kipindi hiki cha kipupwe
subiri kipupwe kipite utanirudia tu.
kipupwe kikiisha utakuwa umeachana na Mamndenyi na Evelyn salt nami nitarudi kwako
unaogopa kuparurwa sura eee? Kwanini usipigane kufa na kupona ili ufaidi kipupwe?
yaani hapo tu ndio sipawezi ndio maana sitaki ligi
chagua mnyonge wako niite na mwanasheria wangu ruta akusainishe.
hivi slave unataka nilie jamani? Me sitaki kushea dushe nataka nimiliki peke yangu...... Kama utaweza sawa muite loya kama umeng'ng'ania 4some basi lv me alone!!!!
kipupwe kikiisha utakuwa umeachana na Mamndenyi na Evelyn salt nami nitarudi kwako
kipupwe kina ubaya na uzuri wake hasa nyakati hizi za kipupwe.
Na wewe utakuwa umefaidi yile mgeni wa jamvi. Arushaone atakuwa. Ameshaoa kama kumi kipupwe hiki.