Kipindi yupo bikra alinikataa ila baada ya kuzalishwa ananitaka

Comment yako na maneno uliyotumia tu naona uwezo wako wa kufikiri na hata uelewa wowote huna, sema ndiyo hivyo tena humu Jf ni jukwaa huru hadi vichaa kama wewe ni ruksa kujoin.

Siku nyingine mawazo ya kilevi hivi kayatoe kwa watu mnaoendana dada.
Ulivyoona wewe,umesahau kuwa ulileta uzi wa kipuuzi na kuomba ushauri kwa watu makini.Mpuzi sana wewe.

Au unadhani hoja yako ilikuwa mujaraabu kwa watu wenye upeo wa kuchanganua mambo?

Hoja ya kipuuzi hujibiwa kipuuzi puuzi tu kama nilivyokujibu,na usitegemee ujibiwe kistaarabu!!!

Fanya kazi acha kuwaza mambo ya nyuchi nyuchi hayana faida na wala sio kitu kigeni na big deal sanaaaa kivile!!!

Kenge sana wewe kijana wa dot.com.
 
Ulivyoona wewe,umesahau kuwa ulileta uzi wa kipuuzi na kuomba ushauri kwa watu makini.Mpuzi sana wewe.

Au unadhani hoja yako ilikuwa mujaraabu kwa watu wenye upeo wa kuchanganua mambo?

Hoja ya kipuuzi hujibiwa kipuuzi puuzi tu kama nilivyokujibu,na usitegemee ujibiwe kistaarabu!!!

Fanya kazi acha kuwaza mambo ya nyuchi nyuchi hayana faida na wala sio kitu kigeni na big deal sanaaaa kivile!!!

Kenge sana wewe kijana wa dot.com.

Mwandiko wako tu unadhihirisha ni kwa kiasi gani hatuendani, sitaki nitoe matusi maana inasemekana kuwa, mara nyingi unapost vitu ukiwa umelewa.

Siku njema mama!
 
ukimkubalia wewe utakuwa bocho sana mi hii thread ishanitokea bikira alinitoroka guest mara 3, sasa nikikumbuka saivi ashato bw sitaki mazoea naye tena.
 
Hiki ni kisa ambacho kinaweza kuwagusa wengi hasa wale vijana wa kiume katika maisha ya mahusiano. Mara nyingi unakuta katika pilikapilika za hapa na pale za kusaka mpenzi/mchumba, kijana wa kiume anampenda msichana kwa wakati fulani lakini unakuta msichana huyo hataki kuridhia muda huo hadi pale anapotendwa na mwingine au kutelekezwa.

Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na msichana fulani hivi nilitokea kumpenda sana. Msela nilikuwa nikijaribu kutema cheche kila kukicha bila mafanikio yoyote. Urembo, tabia na upole wake ni vitu ambavyo vilikuwa vikinivutia kiasi cha kutamani kuwa naye. Nilijaribu hadi kutumia marafiki zake wa karibu ili wajaribu kumshawishi, lakini mtoto hakutaka hata kunielewa. Mmoja kati ya rafiki yake mkubwa alisema yule dada bado hajajua na hadhani hata kama ameshakutana na mtu yeyote yule kimwili.

Baada ya kuona nyavu zangu hazinasi, ilibidi nimpotezee niendelee na maisha mengine. Baada ya hapo nilisafiri kwenda masomoni kwa muda wa miaka miwili. Kitu cha kushangaza baada ya kurudi nilishangaa kumkuta dada wa watu akiwa na mtoto wa miezi miwili. Nilishangaa sana japo moyoni nikasema tayari wahuni washamkomesha. Kilichonishangaza zaidi yule dada baada ya kupata taarifa kuwa nimerudi, alitafuta namba yangu na kuomba tuonane.

Kabla ya kumkubalia, nilikataa sana ila baadaye ilibidi nikubali wito wake. Siku ya kuonana iliwadia na katika maongezi yake alikuwa akidai kuwa nimsamehe kwa sababu ananipenda. Kusema kweli, nilikataa na kudai kuwa "laiti kama angekuwa ananipenda, basi angenikubalia tangu mwanzo". Isitoshe mimi tayari nilikuwa kwenye mahusiano na mtu mwingine hivyo isingekuwa rahisi kuwa naye tena.

Baada ya mazungumzo nikamtia moyo na nikamwambia aendelee na yule aliyemzalisha japo kwa maelezo yake anasema, baada ya kujifungua jamaa alianza visa na kukwepa majukumu kisha wakaachana. Kusema ukweli, mimi niliumia maana sina moyo wa chuma wa kustahimili mtu azae na mwingine kisha aje kwangu kama kimbilio.

Swali langu:
Hivi mtu wa namna huyo unaweza kumkubalia kwa lipi?
Kama alikuwa ananipenda ni kwa nini asingekubali tangu wakati ule kiasi cha kunitesa moyo wangu kiasi kile?
Mambo haya huchochewa na nini hasa kwa wasichana?

Karibuni tushauriane.....
Una bahati hiyo miaka miwili uliyokuwa mbali naye.
Angeweza kukulia timing akakuletea mimba ya mwezi mmoja bila kujua, na angekubambikia kiulainiii! Wengi wameuvaa mkenge kwa njia hiyo, unafukuzia demu muda mrefu tu anakukataa halafu just out of the blue anakutokea na kukuambia anakupenda sana, eti ameamua kukukubalia! Stuka!
Una bahati ya mtende.
 
Mwandiko wako tu unadhihirisha ni kwa kiasi gani hatuendani, sitaki nitoe matusi maana inasemekana kuwa, mara nyingi unapost vitu ukiwa umelewa.

Siku njema mama!
Hahahahaaaa,siku nyingine usipoti uzi wa kipuuzi puuzi humu kwani utajibiwa kipuuzi puuzi na watu waliopevuka na kuota nywele sehemu zote za mwili.

Hujui kuwa pombe inaipatia serikali kodi kubwa? Vinginevyo si ingekatazwa kuuzwa na kunywewa?Sasa kunywa dhambi?

Kweli najibishana na empty head!!

Endelea kuzogoa tumekuachia uwanja ujidai!!!
 
Mkubalie tu bwana mdogo.
Usione watu humu barabarani wanatamba na V8, BMW, Nissan wengi wananunua USED itakuwa mtu , papuchi hainaga shombo
 
Back
Top Bottom