Kipindi yupo bikra alinikataa ila baada ya kuzalishwa ananitaka

Mkuu alianza yeye kuniattack baada ya kushindwa kupambana na hoja zangu.
Akanipachika na usingle mama na wakati hata mwanaume simjui.
Nadhani amekuwa depressed kwa sababu ya kukataliwa na kila anayemuona anadhani ni Mwanakondoo wake single mama.

Eti single mother wakati mwanaume humjui! 😀😀😀😀 So unataka utuaminishe ujinga ili tukuamini
 
Tatizo unapenda kubishana na wanaume na hata ukizuiliwa uache bado hutaki. Kiroho safi naomba mjadala wa mimi na wewe uishe turuhusu wachangiaji wengine.

Kuhusu kuvunja sheria kumbuka hata wewe umevunja na mara nyingi chokochoko zako ndizo zitafanya mtu akujibu kulingana na ambavyo unataka. Yaani unataka kujiona kama wewe ndiyo msemaji/mtendaji/mkosoaji wa jinsia kuliko yeyote.

Kumbuka kuwa humu wapo wanawake wengi tena waliopitia makubwa kuliko wewe but unajifanya una kiburi, tuje tukuoe watu kama sisi tukuvunje kiuno kwa kipigo.
Chokochoko zipi unazozisema wewe??
Tatizo ni pale unapotaka mtu acomment kwa kufuata mawazo yako.
Kumbuka tumetofautiana mawazo na mtazamo na sidhani kama ni kosa mtu kuwa na mtazamo tofauti na wewe.

Pamoja na yote bado Mimi siwezi kukujibu kwa matusi,na matusi yako hakuna hata moja linalonigusa maana umeenda kinyume kabisa.
 
Mkuu alianza yeye kuniattack baada ya kushindwa kupambana na hoja zangu.
Akanipachika na usingle mama na wakati hata mwanaume simjui.
Nadhani amekuwa depressed kwa sababu ya kukataliwa na kila anayemuona anadhani ni Mwanakondoo wake single mama.
Ukimsamehe akakusamehe Mtasikia raha kweli kuliko mnalolifanya.
 
Chokochoko zipi unazozisema wewe??
Tatizo ni pale unapotaka mtu acomment kwa kufuata mawazo yako.
Kumbuka tumetofautiana mawazo na mtazamo na sidhani kama ni kosa mtu kuwa na mtazamo tofauti na wewe.

Pamoja na yote bado Mimi siwezi kukujibu kwa matusi,na matusi yako hakuna hata moja linalonigusa maana umeenda kinyume kabisa.

Ukishajua kuwa sio lazima tufanane mawazo hakuna haja ya kelele, let us end this
 
Hayo ni maamuzi sahihi, Mmepeana hasira, ingekuwa ni rahisi ningewakutanisha inbox na SMS ya samahani.
Nilishamsamehe na najua ni hasira zake za kukataliwa huko.
Zimenuumiza Hadi amekuja kutafuta sympathy kwenye uzi.

Mimi siwezi kumjibu kwa matusi,hata angaporomosha matusi kiasi gani
As long as hayaniaffect chochote na Wala hayanipunguzii chochote.

Huyu anahitaji ushauri na maombi
 
Nilishamsamehe na najua ni hasira zake za kukataliwa huko.
Zimenuumiza Hadi amekuta kutafuta sympathy kwenye uzi.

Mimi siwezi kumjibu kwa matusi,hata angaporomosha matusi kiasi gani
As long as hayaniaffect chochote na Wala hayabipunguzii chochote.

Huyu anahitaji ushauri na maombi

Sawasawa therapist
 
Back
Top Bottom