Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,529
- 3,432
- Thread starter
- #21
Naam..mashaka yaliyopo ni kwamba, uwekezaji usipoangalia misingi yetu utatupoka uhuru wetu na pia hata kama kila kitu katika Nchi hii kikiwekezwa haimaanishi tutakuwa tunamaliza shida zetu.Uwekezaji ni suala la duniani pote.Muhimu ni kujifunza kwa wengine waliofanikiwa kwenye uwekezaji.Pili serikali ilishashindwa kuendesha biashara.Sekta binafsi ndio injini ya uchumi wowote duniani.Huwezi endelea kwa kuwa kisiwa ni lzm ushirikiane na wengine Ili usonge.
Kuna kitu tunatakiwa kuwekeza zaidi.