pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Tune to ITV now!§!
toeni link basi!!
Jamani mnaona mambo huko itv jamani mie nakaribia kulia kwa raha! The new hope is here
mkuu sio live ni clip za mkoa mbali mbali,
Asnate ITV sasa tuko droo
Zina mvuto kuliko unafiki unaoendelea Jangwani
Sambazeni SMS watu watazame itv
leta habari vipi na TBC inamwonesha kikwete? au nayo vipi
Ndugu zangu Watanzania, naomba niwaambia nimekaa namsikiliza Dr. Slaa. Jamani machozi yananibubujika ninapomsikiliza Dr. Slaa maana mambo anayoongea ni ukombozi wa nchi yetu kabisa. Anaongea mambo ya msingi ambayo yanamgusa mwananchi moja kwa moja.
Ndugu zanguni nawaombeni kwa mikono miwili tumchague Dr. Slaa.
Tuache ushabiki wa kishamba jamani, Dr. anaongea mambo ya msingi kwa mstakabali wa taifa letu.
MIMI, MAMA YANGU, MKE WANGU, RAFIKI ZANGU, TWENDE KUPIGA KURA TUMCHAGUE MKOMBOZI WA NCHI HII.
HEBU FIKIRIA, NCHI YETU IMEKUWA SHAMBA LA BIBI
Wakuu imekaaje jamani? Hebu tupeni summary kidogo tulio mbali.