Kipindi maalumu ITV: Hospitali ya Sino ya Kichina yachambuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi maalumu ITV: Hospitali ya Sino ya Kichina yachambuliwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Apr 27, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Muda si mrefu nilikuwa natazama kipindi maalum itv. Wataalam toka manispaa ya k'ndoni na wizara ya afya wakaichambua hospitali ya sino ya wachina iliyo sinza ambayo wameifunga. Wakachambua mapungufu yake ambayo yanatisha ila hatukuonyeshwa kwa ndani wala mahojiano yoyote na wahusika. Wakaelekea kimara kwenye hospitali ya mweusi mwenzao wakamhoji na kumzodoa hadi akatia huruma. Ni kweli ana makosa, lakini mbona hawakuwazodoa wachina?! Mbona wanawaogopa hawa watu? Mbona wameichambua m'nyamala? Wamefanya jambo zuri lakini sijapenda huo upendeleo
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hata mimi nimeliona hilo...hiyo hospitali ya sino wameipitia juu juu tu hawajawaonyesha wahusika...je inawezekana wanawaogopa?
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Sure, hilo ni tatizo katika kutatua tatizo. Wajue tu kuwa tumewagundua. Waoga wa kuwakosoa wenye ngozi nyeupe
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Labda waliingia wakaongeleshwa kichina??
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  Nimeiona program ni nzuri ukiondoa maeneo machache ya unprofesionalism kwenye journalism, wakaguzi walifanya ukaguzi wa kushtukiza ni kama walivamia, lakini jinsi walivyokuwa wanahoji huku nembo ya mic ya ITV ikionekana, inamaana walikuwa ni kama wanafanya interogation on media kitu ambacho sio sawa. Yule mama daktari alikuwa anauliza kwa authority utafikiri yeye ndio polisi, investigator, hakimu na bwana jela. Wakamuarest huyo Dr, wakasema wanaenda nae polisi. Jamani Watanzania kwa kutojua haki zetu, mpaka daktari mzima anakuwa arrested na raia!.

  Afadhali yule Msajili, Dr. Lulu Sawa alifafanua vizuri.

  All and all, ni kipindi kizuri, kilianzishwa na Jerry Muro, alipohamia TBC kikafa, sasa ITV wamethibitisha hata bila Jerry Muro, Ripoti Maalum itaendelea.
   
 6. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Inanikera sana ndugu zangu,
  Inanikera kuliko maelezo. Eti white men they are always makes some errors but we Black men we makes mistake. With Sino is an error eti they can rectify the thing (because they have money), but kwa huyu Mmatumbi mwenzetu is totally a big problem maana hawezi hata ku-rectify tatizo (uwezo mdogo).
  Hivi hizi ni akili au matope?
  Watanzania wenzangu tuamke, tuachane na mambo ya kifedhuli kama haya yanatutia aibu. watu na nyadhifa zao kubwa tena waliopewa dhamana kubwa katika jamii washindwa kuwajibika.......Inatia mashaka sana juu ya uwezekano wa kuwepo maamuzi yenye tija kwa taifa.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Hope nxt time watasolv hii kero. Sikupenda pia namna walivyombananisha dr. Koka. Kuna vihospitali vingine bubu kibao na nje ya dar pia. Wajitahidi wapite na huko
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Bado tuna uoga kwa ngozi nyeupe, huenda ni kweli waliongeleshwa Kichina.
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Aliyetuloga keshajifia...
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Sababu, nia na uwezo tunao wa kutafuta mganga kamili lakini hatutaki.
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  tuna nidhamu ya uoga sana rangi tu imekuwa ishu!
   
 12. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bahasha hizoooooooooooooooooooo
   
 13. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ni heshima kwa wawekezaji wa nje!
   
 14. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kuna mkubwa kawekeza pale Sino...vi ten percent navyo ndio maana twapita juuu kwa juu eee...
   
 15. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi? viwango stahiki ni kwa zahanati na hospitali za binafsi tu? mbona zile za serikali kuna uozo mkubwa kuliko huo?
  Wapite na kwenye zahanati za serikali waone hata idadi ya watumishi (sijaenda mbali kutaja vitendea kazi) kama wanakidhi mahitaji ya kufungua huduma ya zahanati. Kuna haja ya kupimana na kwa upande wa serikali pia
   
Loading...