Kipindi Maalum: ITV kuonesha historia ya maisha Dr. John Magufuli

Mipiga kura ya type yako ni mzigo kwa taifa hili!! Imekuwa ikililetea taifa hasara sababu imejaza pamba maskioni na haitaki kusikia Sera na maono ya wagombea!! Matokeo yake ni kutuletea viongozi wa type ya "Vasco da gama" kila siku safari zisizo na tija!!!

Tulia dawa ikuingie
 
Kipindi Cha historia ya Mh Magufuli kitaruka leo tarehe 5/08/15 saa tatu na robo usiku kupitia ITV.
Huyu huyu Pombe Magufuli au mwingine! Kweli kibaya chajitembeza, yaani mtu kakaa serikalini miaka yote hiyo leo ndio tusimuliwe historia yake. Kweli duniani hakuishi vituko!
 
Mkuu INA maana jamaa anakariri haelewi?


Kwa kukariri yupo vizuri ila kwenye kuelewa kuna shida

Hata siku ile anatanganzwa Dodoma yule mshindi wa 2 Amina alisema alishafanya nae kazi na ukitaka kumfaidi magufuli mwaminishe kitu na kisha atakitetea kwa nguvu zote bila hata kujiuliza mara mbili
 
Baba yangu alikua shabiki mkubwa wa magufuli lakini hyo part imemfanya asite kidogo wameficha kitu hapo magufuli alifukuzwa mana shule za seminari ni shule nzuri sana kitaaluma mtu huwezi ama tu.
Kwanini watudanganye

Inaoneka seminari walivyumilia sana hadi wakashindwa na kuamua kumfukuza mwishoni
Ila kwa kiburi, ukorofi na dharau za magufuli alibahatika sana kukaa seminari zaidi ya mwaka
 
Jana usiku makala iliyoandaliwa na sam mahela na kurushwa na ITV ilikua na maudhui ya kutangaza usukuma wa Magufuli badala ya mambo ya msingi juu ya uwezo wake,mtangazaji alikuwa akisisitiza wanaohojiwa kuzungumza kilugha badala ya kiswali ilhali wahusika walikua na uwezo wa kuzungumza Kiswahili kizuri
 
Kuna mwl. Wake wa Primary Mzee kama Miaka 70-80 hivi Niligundua Alilishwa Maneno.Eti Magufuli alikuwa Mfupi fupi, Mnyenyekevu,

Mpole, Asiyependa Kuchelewa shule japo aliishi Mbali na shule, eti alijua kusoma na Kuandika Kwa Mwezi mmoja.

Hivi kweli yule mzee anaweza Kuyakumbuka haya yote kutoka Kwa Mtoto wa darasa la Kwanza?na je shule Ilikuwa na Magufuli tu. Do

Bongo Hata Hatujui Kufagilia kwa Kudanganya. Story Nzima Niliona Imejaziliziwa na Kuwalisha watu Maneno Isipokuwa yale ya

Mamayake Mzazi anayeelezea Msoto wa Dr.Magufuli Kabla na Wakati anasoma.
 
Jana usiku makala iliyoandaliwa na sam mahela na kurushwa na ITV ilikua na maudhui ya kutangaza usukuma wa Magufuli badala ya mambo ya msingi juu ya uwezo wake,mtangazaji alikuwa akisisitiza wanaohojiwa kuzungumza kilugha badala ya kiswali ilhali wahusika walikua na uwezo wa kuzungumza Kiswahili kizuri

Vipi mipango ya ukaskazini inayoratibiwa na wazee wa Moshi na Arusha kwa kulazimisha mzee wa Monduli atawale!! Watu wa kanda zingine wanachezeshwa ngoma wasioijua, just wait wakiingia madarakani maofisi yatajaa akina; Mmari, Lyimo,Mmasi, Minja, Ole sabai,Mareale and the like.
 
Jana kipindi maalum cha magufuli ITV na leo StarTv jioni hii wametoa wasifu wa Magufuli, lakini vipindi vyote viwili vimeshindwa kusema magufuli ana watoto wangapi, wanaishia kusema watoto kadhaa!!. Ina maana wengine hawajulikani!! au yeye hana uhakika ana watoto wangapi!,
 
Magufuli kwa michepuko na wake za watu ni noumaa, atakuwa na watoto wasio na idadi na wake kadhaa!
 
Back
Top Bottom