Kipindi Maalum: ITV kuonesha historia ya maisha Dr. John Magufuli

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
2,205
Kufuatana na matangazo ya ITV leo jumatano mida ya saa tatu usiku itamwonyesha kipindi maalumu cha maisha ya mgombea uraisi kupitia CCM jembe la uhakika John Pombe Magufuli kuanzia kuzaliwa kwake,alivyokuwa mdogo alivyoishi na watu kijijini n.k hadi kufikia alipo.

Ni muhimu sana wazazi, watoto na vijana wasilale bila kuangalia hicho kipindi kwani ni very inspiring kwa wazazi na watoto na vijana kujifunza kuwa kila binadamu aweza fika mbali na kujua nini kilimwezesha yeye kufika mbali ambacho wengine waweza iga au wazazi waweza saidia watoto kufika mbali.

Kumbe janja yote ya mgombea wa CCM ni pamoja na kuhama seminary ya Katoke kwa kile mwandishi wa ITV anasema 'aliamua kuhama Shule ha Sekondari ya Lake! Haiko hivyo!

Alishindwa na kufukuzwa seminari na ilibidi atafute Shule ya kumalizia kidato cha nne! Maajabu wahojiwa wote aliowahoji Sam wameficha historia halisi ya Mh Magufuli wakihofukumkashifu!. Wasilojua ni changamoto alizopata utotoni Kama kufukuzwa seminari ndio zimemjenga, na tuna mengi ya kujifunza kwake.

Somo: tusiikane historia yetu Eli tunnekane maisha hayakuwa na mabonde! Tuwe wakweli nawaaminifu kwa kauli zetu! Nimeona kwenye kipindi maalumu kilichorushwa na ITV Leo usiku, unafiki wa ajabu kwa watu wa umri mkubwa! Wazee watu! jamani! Hata kuelezea historia ya maisha yetu tunafanyia rushwa?
 
Kipindi Cha historia ya Mh Magufuli kitaruka leo tarehe 5/08/15 saa tatu na robo usiku kupitia ITV.
 
jembe la mkono ni jembe ,wemzao wanabadilisha gear angani wao wana jembe la mkono
 
Safi sana jembe Magufuri wewe ndo kila kitu mpaka wauza unga waombe poo
 
Hyo historia ipelekwe tbc kwanini walipie na tv wanayo? Au Zanzibar TV ambao hawanjui vzr ingekuwa poa
 
Waambieni TANESCO wakate tu umeme maana hatuna kazi nao.. ooh! nitamchek Ramiz Kareaski TV1 ikiisha nalala.
 
Mkuu hiyo imetengenezwa mahsusani kusawazisha milima ya ufisadi na umaskini!

Hehehe Earth moving equiment? Eti milima....hao ni maadui na sio milima. Huwezi kupambana na adui kwa kutumia tingatinga...sana sana hilo litaenda kubomoa ikulu yetu.
 
Back
Top Bottom