Kipindi hiki sikielewe!!!!!

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
46
Kuna kipindi kinaonyeshwa TBC1 KILA JUMAPILI baada ya taarifa ya habari, kinaonyesha matukio(MAZURI TU) kuhusu wizara mbalimbali na vitengo vyake, wanalengo gani hasa! maana wamerekodi tukio la kiongozi mmoja wapo ametembelea mradi uliokamilika,
JE TUJIBU WANAJIUZA AU......!!!???
 
hawa jamaa hata mie cwaelewi, mara waoneshe miradi ya maji, mara wajasiliamali nk, cijawahi kuona
wakionesha shule zao za st. kikwet hata mara moja, wala sector zilizododa ili wasaidiwe. nashukuru haki elimu inatusaidia kuonesha ukweli wa mambo
 
Back
Top Bottom