Kipindi hiki maji hakuna umeme hatuna na janga hili serikali tuoneeni huruma

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,715
Maji hayajotoka tangu wiki iliyopita na umeme umekatika hadi mda huu na tuna janga la dunia. Wenzetu tunaona serikali zao zinatoa umeme bure na maji bure na chakula bure nchi jirani. Mbona kwetu umeme tumelipia na umekatwa ? Maji tumelipia na hayajatoka tutanawa vipi mikono virusi? Tunaomba serikali yetu itunali kipindi hiki hata kwa yale tuliyokwisha lipia wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapo hakuna lockdown, unaweza ku-imagine tungekuwa na hali gani.
 
K
Maji hayajotoka tangu wiki iliyopita na umeme umekatika hadi mda huu na tuna janga la dunia. Wenzetu tunaona serikali zao zinatoa umeme bure na maji bure na chakula bure nchi jirani. Mbona kwetu umeme tumelipia na umekatwa ? Maji tumelipia na hayajatoka tutanawa vipi mikono virusi? Tunaomba serikali yetu itunali kipindi hiki hata kwa yale tuliyokwisha lipia wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako ndio hakuna maji, mimi kwangu maji ni 24 hours.
 
Maji hayajotoka tangu wiki iliyopita na umeme umekatika hadi mda huu na tuna janga la dunia. Wenzetu tunaona serikali zao zinatoa umeme bure na maji bure na chakula bure nchi jirani. Mbona kwetu umeme tumelipia na umekatwa ? Maji tumelipia na hayajatoka tutanawa vipi mikono virusi? Tunaomba serikali yetu itunali kipindi hiki hata kwa yale tuliyokwisha lipia wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi?
 
Back
Top Bottom