okay aisee asante sanawakuu kipindi cha muziki wa milenia (zilipendwa) kipo kila alhamis kuanzia saa 22:00 - 01:00 kikiongozwa na nguli jacob osungu. miez kadhaa nyuma alikishikilia juma ahmed baragaza. ila huyu anatangulia saa 21 kwa kipindi cha mila. ebwana ENZI HIZO kimetulia nakisikiliza bila kukosa japo si wa zamani