Kipindi cha Tanzania mpya TBC: Katiba ibadilishwe Rais atawale miaka 20

Chondechonde
Kama kuendelea katiba iseme ni kwa magufuli pekee
Imagine muharibu nchi anakuja anang’ang’ania kubaki na nchi miaka 30
Maana tukibadili kwa nia nzr jua kuna raisi mbaya atakuja mbelen na kung’ang’ania nae aongezewe
 
Yan no maalum kwa jamaaa huyu tu.mda ukiisha tunalejea kwenye utaratibu.

2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
 
Naunga hoja ila iwe kwa Magu tuu
ili nilishasema iwe kwa Magufuli tu na kama ikimpendeza arudishe mchakato wa kupata katiba mpya itakayoenzi jitihada na juhudi zake kwa viongozi wajao

katiba mpya mpya pia itamke rais atakuwa madarakani kwa muhura mmoja tu wa miaka 6 au 7 baada ya hapo hana haki ya kuchaguliwa tena na wabunge waishie vipindi vipindi tu vya miaka 6 au 7 kila kipindi kimoja.
 
ili nilishasema iwe kwa Magufuli tu na kama ikimpendeza arudishe mchakato wa kupata katiba mpya itakayoenzi jitihada na juhudi zake kwa viongozi wajao
Naunga mkono hojaa hii

2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
 
Nyerere aliongoza zaidi ya miaka 20 na CCM wanaongoza mwaka wa 50 sasa..
 
Back
Top Bottom