Kipindi cha sitosahau kinachorushwa na Radio Free Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi cha sitosahau kinachorushwa na Radio Free Afrika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Aug 15, 2011.

1. w

white wizard JF-Expert Member

#1
Aug 15, 2011
Joined: May 18, 2011
Messages: 2,462
Likes Received: 748
Trophy Points: 280
Kuna kipindi cha sitosahau kinachorushwa kila Jumapili kuanzia saa 4 asubuhi, hadi saa tano, hivi huwa ni kweli hao wanaosimulia hayo mambo yamewakuta! Kwani mengine ni mambo mazito hata kama ni komandoo anaweza akashindwa!lakini wao waliyaweza!sio wote kuna wengine story zao zinawezekana zikawa na ukweli ila kuna wengine we unayesikiliza unaogopa kumbe hapa tz tuna wenzetu wanaweza kuwa makomandoo wazuri sana!je huwa hawa watangazaji wanatumia njia zipi kujaribu kutathimini u halisia wa hizo story kabla?kwani kama zikitungiwa move hata zile za terminator,hard lockers,na nyingine za kibabe zisingefua dafu hapa! Tafakari

2. Katavi

Katavi Platinum Member

#2
Aug 15, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,469
Likes Received: 4,128
Trophy Points: 280
Na chumvi pia huongezwa ili kuvutia zaidi wasikilizaji.

3. Amina Thomas

Amina Thomas JF-Expert Member

#3
Aug 15, 2011
Joined: Mar 9, 2008
Messages: 272
Likes Received: 8
Trophy Points: 35

mimi niliacha kusikiliza baada ya kugundua kua hawana uwezo wa kutambua mtu mzima na mginjwa wa akili. kuna siku walimwalika chizi! nilishangaa sana.

4. Sajenti

Sajenti JF-Expert Member

#4
Aug 15, 2011
Joined: Apr 24, 2008
Messages: 3,673
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
..Wengi story zao ni kama za kutunga. Kwa mfano kuna huyo jamaa anayeendelea na stori yake kwa wiki ta 3 sasa nilimsikiliza jana baadae nikaboreka nikazima radio. Simulizi haina consistency kabisa kwa mfano jana jamaa alidai kuwa alimwita girl friend wake eti ana simu kali ya bei mbaya amfate gesti aliyojificha. Demu alipofika akamuomba simu ampigie jamaa yake akatoka nje akatimka kimoja. Hivi kwa akili ya kawaida ni binti gani asiyeweza kukuhoji kilichokupeleka gesti? Haya kachukua simu ya huyo binti akakimbilia temeke yanakopaki mabasi ya kwenda mtwara asubuhi akapanda basi kwenda mtwara.Hasemi kama hiyo simu aliuza wapi na shilingi ngapa? maana lengo lake ni kuongezea pesa ya nauli ili afike South Afrika. Na watangazaji wetu hawana hata uwezo wa kumsoma mtu na kisha kumrushia maswali ya kumchimba...inaboa sana!!

5. Kijuche

Kijuche JF-Expert Member

#5
Aug 15, 2011
Joined: Aug 26, 2010
Messages: 419
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Hapo kwenye red = mgonjwa

6. K

Karry JF-Expert Member

#6
Aug 15, 2011
Joined: Mar 26, 2011
Messages: 266
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
chumvi nyingi mkuu kukamata wasikilizaji

7. c

change we need Member

#7
Aug 15, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 81
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
watangazaji hawana upeo mkubwa wa kuhoji! kipindi kimekuwa cha uongo na ubabaishaji..sijui hao wanaotoa hizo stori wanalipwa? maana wamekuwa wengi!!

8. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#8
Aug 15, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
zamani nilikuwa nasikiliza
lakini hawa jamaa wanaudhi sana mkuu,yaani wao kila siku mitambo yao ina matatizo,sijui kama kuna watu bado wanawasikiliza,yaani wao wakitaka kuleta jambo lolote kama magazeti asubuhi basi kuunganisha na dar inakuwa kazi kwelikweli
sasa kinachonishangaza labda hawana mitambo mizuri au hawana mafundi
biashara za mijitu myeusi ovyo kwelikweli!

9. Preta

Preta JF-Expert Member

#9
Aug 15, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,035
Trophy Points: 280
kuna jamaa mmoja alikuwa anasimulia jinsi alivyoenda Somalia, Sudan n.k......kutafuta maisha....nilijiuliza sana huyu mtu ana roho ya namna gani....kwa mapito aliyopitia....hapana ile atakuwa alitunga....haikuniingia akilini

10. Filipo

Filipo JF-Expert Member

#10
Aug 15, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 9,330
Likes Received: 210
Trophy Points: 160

Hapo mkuu umezidisha hasira! Sidhani kama upo sahihi!?
Hembu angalia tena vizuri.

11. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#11
Aug 15, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Kipindi ni cha hadithi za kweli, mimi ni mmoja wa watayarishaji wake. Tumekuwa tukihangaika huku na huko kutafuta habari ili kuwaelimisha wasikilizaji lakini inaniuma sana kuona watu wanatumia jukwaa hili kuponda na kudharau jitihada zetu.

12. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#12
Aug 15, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280

mkuu siamini kama unahusika,hapa jamvini saa nyingine sipendi comment zako,wewe unaitwa nani?????na unafanya kazi radio free africa??

13. First Born

First Born JF-Expert Member

#13
Aug 15, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,314
Likes Received: 96
Trophy Points: 145

mi simo.

14. Manyanza

Manyanza JF-Expert Member

#14
Aug 15, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 4,446
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Magumashi tu, kama kuna ukweli wa zile story hauzidi asilimia 20

15. Manyanza

Manyanza JF-Expert Member

#15
Aug 15, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 4,446
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
unapenda kinyume nyume angalia kijana!

16. Matola

Matola JF-Expert Member

#16
Aug 15, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,268
Trophy Points: 280
Eti! kwenda Somalia kutafuta maisha!! hapa hata msikilizaji ni lazima uwe mwehu ndio uweze kusikirikiza huu ujinga. Yaani mimi sasa hivi nimebadili station ya ITV baada ya Tendwa kuanza kuongea upuuzi kwenye kipindi cha dakika 45, ndio sembuse hao wajinga? sina muda wa kuwasikiliza.

17. Shine

Shine JF-Expert Member

#17
Aug 15, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

Huyo chizi alisumulia date na mwezi gani maana na mimi nimfuatiliji wa hiki kipindi

18. p

panya.mjanja New Member

#18
Aug 30, 2014
Joined: Aug 22, 2014
Messages: 1
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

19. M

Mas The Great Senior Member

#19
Aug 30, 2014
Joined: Dec 27, 2011
Messages: 145
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
waandaaji wajifunze kufanya kipindi kama afanyavyo dr isaac mzee wa njia panda.

kipindi kinapounganishwa na waendesha kipindi wa dar kinaboa mpaka basi. big up njia panda. sitasahau ovyoooo hata anapokuwepo msimuliaji mzuri. hawana mbinu za kumuuliza

20. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#20
Aug 30, 2014
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
Sidhani kama ni kuponda mkuu bali ni maoni ya wasikilizaji, tena nadhani ulipaswa kufurahi kwamba kipindi kinafuatiliwa, zaidi usa yote boresheni maeneo yaliyolalamikiwa mfano, story kukosa consistency, mtiririko unaoeleweka, ulizeni maswali yatakayokidhi kiu ya msikilizaji.

Loading...