Mkal kwanza
Member
- Dec 26, 2012
- 17
- 0
kumbuka shati lililochakaa ndio dekio jipya
chumvi haisifiwi..katika kipindi hiki kuna baadhi ya misemo uwa inatajwa katika kipindi hichi kama sanda haina mifuko, kipofu achungulii, tupia misemo mingine uliyosikia.