Kipindi cha Mkasi leo Salama umechemka

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,429
32,173
Mnaongea mnapishana, anapoongea Salama huku unasikia saut ya Flavian Matata anaongea Muba mdomo unacheza wakati sauti inayosikika ya salama akiuliza kitu yani picha na matendo yenu vipo tofauti.
 
Wamechemka sana, acha tu kupishana kwa sauti na vitndo, kabla mgeni hajaingia walikuwa wanaongea upuuzi wanabishana kelele tu hata mgeni alipo ingia hawakuwa na muda nae mpaka akawaambia acheni kelele fanyeni kazi. Yaani kilikuwa zaidi ya hovyo.
 
Mbn nzur tu jaman achen unafiki


Unafiki upi? Uliangalia kipindi cha jana au umekurupuka kucomment tumekuambia jana siku ya juma tatu saut na matendo vipo tofaut halafu unakuja kusema kizur hatar sna
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom