Kipindi cha mfungo:ukiota watemebea an majini/maruhani ukamaliza kazi utaitaji kurudia mfungo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi cha mfungo:ukiota watemebea an majini/maruhani ukamaliza kazi utaitaji kurudia mfungo??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Jul 18, 2013.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2013
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,548
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Ndugu zanguni habarini za saizi
  maoni yangu tunaendelea kulala ingawa wengine usiku kwetu mchana mpaka wiki iishe

  leo kwa wale wenye kujibu kwa hekima tulikuwa tunaulizana na mwenzangu swali hilo hapo juu
  ikatoke umepumzika usiku ama mchana gafla ukaota unafanya mapenzi ndootoni ama na majini
  ama wapenzi wenu mliowaacha bila idhini zao

  swali linakuja ikitokea hivi tunaitaji kufunga zingine ukombele ,?na je siku inakuwa imekufa??
  Embu tusaidien maana kuna wengine wanalala mchana na yanawatokea ni vyema wakaijua wajue waendelee tu kula ama watakuja kulipa kule mbeleni

  majibu ya hekima na upendo ndio nguzo kuu yetu wakati huu wa mfungo

  amin amin amin
   
 2. s

  silent lion JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2013
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 532
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  kama umeota haina shida, nenda kaoge tu uendelee na swaumu, wala hauji kulipa. mambo yanayoharibu swaumu ni
  1. kula au kunywa kwa makusudi.
  2. kujitoa manii kwa makusudi (puli)
  3. kujitapisha kwa makusudi
  4. kumuingilia mwanamke au mke mchana
  5. kusema uongo, kupigana, kusengenya
  n.k
  tanbihi: ikitokea swaumu imeharibika, hautakiwi kula wala kunywa hadi magharibi. na siku utalipa. mungu anajua zaidi
   
Loading...