Kipindi cha heshima hiki!

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
7.jpg

Jamaa kwa Unyenyekevu anasalimia mwananchi kwa adabu zote hadi anavua kofia!anayesalimiwa ni kijana.je heshima hii itaendelea baada ya kuukwaa uheshimiwa?
 
Hii heshima na adabu aliyonayo ni dangaanya toto na ni ya kipindi hiki tu cha uchaguzi na akijaliwa kushinda anahama kabisa hapo igunga.
 
Ogopa m2 anayeomba kura kwa tabia za unafiki km kuvua kofia, kupiga magoti, kulia nk akipata uongozi mtamkoma
 
Heshima inaendelea hata kabla ya kushinda uchaguzi. CCM imeifanyia mambo mengi sana hii nchi. Mwenye macho haambiwi tazama.
 
View attachment 36835

Jamaa kwa Unyenyekevu anasalimia mwananchi kwa adabu zote hadi anavua kofia!anayesalimiwa ni kijana.je heshima hii itaendelea baada ya kuukwaa uheshimiwa?

Jamani huyu ndo kafumu nini? Nielewesheni makuu. Hiyo ni Masha style, alipoona mambo yameshaharibika ndo akaenda kuomba radhi na msamaha. it was too late to utter msamaha words.
 
Heshima inaendelea hata kabla ya kushinda uchaguzi. CCM imeifanyia mambo mengi sana hii nchi. Mwenye macho haambiwi tazama.
kweli imefanya mambo mengi mkuu hadi kufkia hatua ya kuuza wanyama....................huh
 
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36835&amp;stc=1" attachmentid="36835" alt="" id="vbattach_36835" class="previewthumb size_medium" /><br />
<br />
Jamaa kwa Unyenyekevu anasalimia mwananchi kwa adabu zote hadi anavua kofia!anayesalimiwa ni kijana.je heshima hii itaendelea baada ya kuukwaa uheshimiwa?
<br />
<br />
dr. Kafumu wa ccm Igunga? Hahahahaha! Usanii huu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom